Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wakuu hizi Serengeti light siku hizi wamezifanya nini,mbona nikinywa na pia hata washkaji zangu wanalalamika hili swala kuwa ukiamka asubuhi mwili wote unakuwa nyang'anyang'a kama umepigwa kwenye joints zote za mwili.
Mbona hazina shida mkuu,mm ndo bia yangu toka wamezindua mpaka labda we uakunywa hujala
 
Kama mzee alikuwa mdau kulipa kodi sisi ni kina nani tusilipe kodi??
IMG-20191016-WA0028.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom