Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,274
- 64,404
ha ha ha ukipiga hivi vyombo lazima uone mji mtamuNikiwasalim Kutoka Rock City, Kumbe Kamji Katamu Haka View attachment 1224859
ha ha ha ukipiga hivi vyombo lazima uone mji mtamuNikiwasalim Kutoka Rock City, Kumbe Kamji Katamu Haka View attachment 1224859
Mkuu meza imekosa mauaNajiuguza hangover View attachment 1224885
ha ha ha sio lazima ua ridi,lolote tu mkuu linafaa hata yale yanayovumilia jua kali.Jua kali... Yamenyauka... [emoji23][emoji23][emoji23]
Kitu cha Uskochi cha J&B hicho kama una kichwapanzi usiguse.Blue mondayView attachment 1226171
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....Hakuna siku nimekasirika kama Leo, nilikuwa na appointment na chick mmoja SAA tano asubuhi muda ulipofika nikajisogeza baa moja Camel Moro, nikamwelekeza manzi aje pale. Kilichotokea hakuja na nikapiga Kvant za kutosha hadi usiku na mzigo sikula!!
Pole sana mkuu..sema haya ni mambo ya kawaida pale unapokuwa huna chick wa kueleweka kweli kweli.Hakuna siku nimekasirika kama Leo, nilikuwa na appointment na chick mmoja SAA tano asubuhi muda ulipofika nikajisogeza baa moja Camel Moro, nikamwelekeza manzi aje pale. Kilichotokea hakuja na nikapiga Kvant za kutosha hadi usiku na mzigo sikula!!