Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,849
- 209,771
TojoNani kalewa kuna watu huwa hatulewi. sikumbuki kulewa
Me huwa sipendi pombe inizidi, na nikiona naelekea huko naamsha zangu
TojoNani kalewa kuna watu huwa hatulewi. sikumbuki kulewa
Hahaha kama kawaidawakati huo mkisubiri hotchair haha
Asante kiongozipole sana mkuu
Mm tatizo sasa sinaga limit nikianza ni mwanzo mwisho sasa naona ishaniletea majanga mara kibao hii ya leo acha iwe mwisho .Tojo
Me huwa sipendi pombe inizidi, na nikiona naelekea huko naamsha zangu
Kama ni hivyo bora uache tuMm tatizo sasa sinaga limit nikianza ni mwanzo mwisho sasa naona ishaniletea majanga mara kibao hii ya leo acha iwe mwisho .
Nina mashaka kama ulielewa nilichokiandikaTojo
Me huwa sipendi pombe inizidi, na nikiona naelekea huko naamsha zangu
Mm kwanzia Leo nastaafu kulipa kodi nliyoyafanya jana naona nispoacha kulipa kodi itakuja niletea matatizo zaidi ya jana.kwaherini
Uliuliza nani kalewa.Nina mashaka kama ulielewa nilichokiandika
aah nilikusoma vibayaUliuliza nani kalewa.
Ukasema wewe hukumbuki kama ulishawai kulewa.
Ama sivyo?
ShukranAah.. Pole
Hapa ndo unapokosea mkuu....hupaswi kuwa mlevi unapaswa kuwa mnywaji.Mm tatizo sasa sinaga limit nikianza ni mwanzo mwisho sasa naona ishaniletea majanga mara kibao hii ya leo acha iwe mwisho .
Nishasitisha mkuuUlifanyaje kwani asee?tulipe Kodi mara ya mwisho basi leo,u wapi?
Hiyo imeshanicost so nimeona bora niache tu kwanza.Hapa ndo unapokosea mkuu....hupaswi kuwa mlevi unapaswa kuwa mnywaji.
Mlevi hajali limit Ila mnywaji anaijua limit yake na akifika tu hurudi zake kupumzika
Acha kimya kimya mzee unatuhuzunisha kumpoteza mwanachama mzuri kama weweHiyo imeshanicost so nimeona bora niache tu kwanza.
Vyema..Hiyo imeshanicost so nimeona bora niache tu kwanza.
Vingine sio mimiUnakulaga vitu vya mbele mbele sana
Ni nani!!?we mambo safi bwana usinikatae kihivyoVingine sio mimi
Hahahaaa daaah ila hamna namna ndo ishatokeaAcha kimya kimya mzee unatuhuzunisha kumpoteza mwanachama mzuri kama wewe