Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,668
- 18,609
Asante mkuu ni kwa sababu nikivuta Herbs na kunywa pombe TV ndogo lazima nifumbe jicho moja nikiwa naangalia mpira.Duuh hiyo tv vipi kubwa sana aisee
Asante mkuu ni kwa sababu nikivuta Herbs na kunywa pombe TV ndogo lazima nifumbe jicho moja nikiwa naangalia mpira.Duuh hiyo tv vipi kubwa sana aisee
Acha kunitoa udendaa mzee nisije toroka oficin, umegusa mle mle [emoji23][emoji23][emoji119]
Zinauzwaje kiongozi
Haa haaa ashukuriwe BWANA maombi yamefanya kazi [emoji23][emoji23][emoji23]Wadau nisaidieni
Yaani siku hizi nikinywa bia. Wine aina yoyote kama ni usiku basi kesho yake lazima tuombe liniune na kufikia hatua ya kuharisha wakati hapo nyuma nilikuwa nakunywa vizuri bila kupata shida yoyote
Sasa sijui hili litakuwa ni tatizo gani au kuna watu wamepiga maombi ili niache kunywa pombe
Ndiyo [emoji23][emoji23][emoji23]Duh![emoji22][emoji22][emoji22]
Ni nani!!?we mambo safi bwana usinikatae kihivyo
Ndio najiandaa kuchomoka... Mita imeshasomaDunia ni moja,lazima tuchangie maendeleo popote pale.Leo sijioni nikifungua mlango [emoji23] [emoji23]
View attachment 1206532
Ndio najiandaa kuchomoka... Mita imeshasomaView attachment 1206611
😃😃yule mupe yule muruke.Ndio najiandaa kuchomoka... Mita imeshasomaView attachment 1206611
Kwa mbinyo nilionao nahisi nitaziota hizi leoNdio najiandaa kuchomoka... Mita imeshasomaView attachment 1206611