Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

tunalipa mrabaha
1568040044076.jpeg
 
Pama napajua ila skuizi pamepoa,juu yake kidogo kuna ile inaitwa Washington ndo panabamba skuizi,juzi usiku nlikua hapo.
Pamepoa mno, pale ni pakuanzia kupasha pasha kwanza
 
Zamani nlikua nakaaga sana pale wakati iko hot,ila nowdays labda kennygarden,Washington kwa mitaa hapo stand
 
Acha tu kuna mtu kazingua jana ikakuta na mm kichwa kishajichaji nikamuadhibu yani Leo ndo tumesolve police na pesa nyingi imenitoka afu kibaya mpaka kwa familia imefika so nimeamua kustaafu kabisa majanga hayaniishi nikilewa.
Kilitokea nini?
 
Duh! Pole sana.
Chama kitakumiss.
Usiwe unalewa sasa, kunywa tu ile kuchangamsha mwili basi ( kutoa aibu)
 
Hapana nastop kabisa asee majanga ya Leo yanatosha naona naelekea pabaya coz mm sjawahi kwenda kulipa kodi nikajipanga kabisa labda nakunywa 5,10 tu naishia no!!me nakunywaga mpaka nihakikishe nimelewa sana ndipo naondoka
 
Acha tu kuna mtu kazingua jana ikakuta na mm kichwa kishajichaji nikamuadhibu yani Leo ndo tumesolve police na pesa nyingi imenitoka afu kibaya mpaka kwa familia imefika so nimeamua kustaafu kabisa majanga hayaniishi nikilewa.
pole sana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom