Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kwa heshima kubwa... Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi.. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina...
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo.... Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi... Zile za ofa na hata za kwenye sherehe...
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza....

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Ukitaka kunywa siku nzima, lazima uanze asubuhi mara tu baada ya kupiga mswaki. Ukienda kilabuni saa saba mchana utakuwa umekunywa nusu siku tu!
 
Ukinywa pombe halafu kesho yake ukachelewa kuamka na ukaamka kichwa kinakuuma basi ujue uliingia ligi ya daraja la kwanza wakati wewe ni daraja la tatu!.
 
Uongo ni kitu kibaya sana. Wewe ni muongo no 1 ktk huu Uzi
Umejuaje kuwa mimi ni muongo namba 1; uliniweka kwenye polygraph nikashindwa. Sikiliza; usinywe pombe uamke kichwa kinakuuma, utakuwa umeingia chaka lisilokuhusu labda kama wewe ni undergraduate. Siku ya beer day ulikuwa wapi?

.....................he was a wise man who invented beer!!
 
Ukitaka kunywa siku nzima, lazima uanze asubuhi mara tu baada ya kupiga mswaki. Ukienda kilabuni saa saba mchana utakuwa umekunywa nusu siku tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109]
 
[emoji6][emoji6][emoji6]
67823386_1110580329331755_2823951700841074151_n.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom