Hapana mkuu mimi nikinywa pombe yoyote..nikirudi nyumban nakunywa safari mbili,basi hata iweje siwezi kuamka na tatizo loloteHahahaha, sema ukiamka asbh hovyo kwel mkuu
Mtafute mtoto aitwae naa au nasra hapo...hakika mkuu utafurahi kuhudumiwa na mlimbwende mkaliii kabisa4040 tabata njooni tulipe kodi
Wakuu niko kwenu Mwanza,aliye karibu na tema bar/hotel asogee angalau tule vyombo
Samahani bhuana, nilijua ni picha tu umedaunlodiUnamtamani dada ako?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji30][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Jana nilijaribu kupiga hivi vitatu,uwezi amini nimelala mpaka saa hii nimeapa sivipigi Tena sijui wanachanganyaga na Nini?View attachment 1188792
Mshana hii kitu vipi?[emoji1787][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji30][emoji30][emoji30][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]tuko pamoja nao kiroho na kimwili pia ngoja niagize tano kuwawakilishaNimepokea malalamiko toka kwa wanachama wenzetu wa kenya kuwa leo Bar na maeneo yote ya starehe yameamriwa kutofungiliwa mpaka pale zoezi la Sensa litakapokamilika
Sisi Kama Wanywaji na Walipa kodi wenzenu kutoka Tanzania Nasema Tupo Pamoja Nanyi katika kipindi hiki Kigumu mnachopitia Mungu Awajalie Moyo Wa Uvumilivu..[emoji1374]
By SoberMM-Katibu Wa Maafa
Mohan's mikocheni ya MasakiWadauu hii kinywaji kwa dar naweza ipata wapi na bei inaweza kuwa sh.ngapi??View attachment 1188919