Mr Mikazo
JF-Expert Member
- May 26, 2016
- 1,595
- 808
Duh unataka ukapaue mkuu, kila la kheriMafichoni pub pwani iyo View attachment 1188452
Duh unataka ukapaue mkuu, kila la kheriMafichoni pub pwani iyo View attachment 1188452
MmmmhKaribuni MoroView attachment 1188520
Baadae utakuwa wapi mkuu...
Kiwanja gani hapo morogoro white...
Utakuwepo muda mrefu au utakuja maeneo ya mikocheni baadae mkuu, naona uvivu kujisogeza kitaa hicho cha sinza...Nipo mibs mkuu mda huu
Sehemu nzuri na imani unaifurahia weekend vyema kabisa white..Nyumbani Park
Sehemu nzuri na imani unaifurahia weekend vyema kabisa white..
unaenda flomi au mo town white....Nahama sasa hivi
Utakuwepo muda mrefu au utakuja maeneo ya mikocheni baadae mkuu, naona uvivu kujisogeza kitaa hicho cha sinza...
Nahama sasa hivi
Nikiwa macho ukisogea mitaa hii tabidi nitoke mara moja tupate ngano kidogo mkuu...
Mebs nyuma ya clouds hapo au?Karibu mibs
Nikiwa macho ukisogea mitaa hii tabidi nitoke mara moja tupate ngano kidogo mkuu...
Mebs nyuma ya clouds hapo au?
unaenda flomi au mo town white....
sasa hivi najua moro imepoa maana vyuo vimefunga huko...
Karibu mibs
Kuzuri pale, you enjoy best...Mie vyuo vya nini sasa bestie.?
Naenda black and white kulewa mie
Mie vyuo vya nini sasa bestie.?
Naenda black and white kulewa mie