.Mapema nimeanza kulipa kodi hapa maeneo ya mabibo matokeo luhanga King'ole moja View attachment 1191280
Haaah umekatisha utamu malizia mzeeJuzi nimeenda bar nikaagiza vitu vyangu kama kawaida yangu huwa sipendi shobo na madem sasa pembeni yangu kuna mdada nae akula bia mara akaanza kaka mambo me kimya nikajua huyu anataka bia tu nikamwagizia tano kwanza hajakaa sawa tano zingine akaaza kuniita baby nikamwambia kunywa bia sepa mara bila zikamzidi akazidiwa kinyama na bia sasa wale wahudumu wakajua ni demu wangu wakawa wananiambia mpeleke home huyu amezidiwa na pombe nikawaambia simjui huyu ila baadae nikamuonea huruma nikamchukua nikampeleka kwenye gari nikamfungia humu humu me nikarudi na kuendelea kupiga vitu sasa baadae narudi kwenye gari nikakuta demu ametapika kinyama nikamwambia nielekeze nikupeleke kwako haongei basi kilichoendelea hapo........
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]basi kilichoendelea hapo....Juzi nimeenda bar nikaagiza vitu vyangu kama kawaida yangu huwa sipendi shobo na madem sasa pembeni yangu kuna mdada nae akula bia mara akaanza kaka mambo me kimya nikajua huyu anataka bia tu nikamwagizia tano kwanza hajakaa sawa tano zingine akaaza kuniita baby nikamwambia kunywa bia sepa mara bila zikamzidi akazidiwa kinyama na bia sasa wale wahudumu wakajua ni demu wangu wakawa wananiambia mpeleke home huyu amezidiwa na pombe nikawaambia simjui huyu ila baadae nikamuonea huruma nikamchukua nikampeleka kwenye gari nikamfungia humu humu me nikarudi na kuendelea kupiga vitu sasa baadae narudi kwenye gari nikakuta demu ametapika kinyama nikamwambia nielekeze nikupeleke kwako haongei basi kilichoendelea hapo........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]basi kilichoendelea hapo....
Hahahaaa...Nimeshalewa zangu afu mrs ananipikia sijui supageti blablah,mimu nineamua kuchemsha miguu ya ngombe.View attachment 1190109
Samahani bhuana, nilijua ni picha tu umedaunlodi
Sasa kama unatumia pombe kumezea klolokwini kwa nini usife[emoji41]
Pombe asubuhi tamu sana
Mungu atakusimamia mkuu, lolote litakalotokea ni mipango ya Mungu[emoji1374]
🙆🏽♂️🙆🏽♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana nikaingia jikoni mwenyewe afu sinywagi vant mkuu bora hata nyagi au gongoHahahaaa...
Yaaani umekula zako Kimario Vant afu ule supageti..[emoji23][emoji23] .?