Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

.
IMG-20190819-WA0104.jpeg
 
Hakupo hivyo ndugu,
Nina zaidi ya 3 yrs kunywa hapo haijawahi tokea lolote

Mkuu 3yrs wewe ni legend kabisa, watu wapywa wawe makini...niliiita babe hapo akakataa kabisa kukaa nikamwambia changanya miguu kama hutaki kukaa hapa, ikabidi akubali hatujakaa hata dk 30 mara defender linatoa ilani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom