Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,288
- 866,745
- Thread starter
- #20,321
[emoji123][emoji109]Nitakutumia wangu pia, nilimuahidi mweka hazina Blaki Womani mpaka leo sijatuma
[emoji123][emoji109]Nitakutumia wangu pia, nilimuahidi mweka hazina Blaki Womani mpaka leo sijatuma
Najiandaa kuja kunywa za bei ya chini huko mjini kwenu Leo. Ratiba ikiruhusu nitakuchekiMalizia... [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna mkuuMaandalizi ya mechi ngumu [emoji848][emoji848][emoji23][emoji23]
Niko pande zenu Leo(Mwanza Mwanza)[emoji16][emoji16][emoji16] Hya hongera!
Wacha! enjoy..tuwakilishe hukoNiko pande zenu Leo(Mwanza Mwanza)
Naona maana kulikuwa na weekend ndefuMwezi umepinda kona
Wacha! enjoy..tuwakilishe huko