Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,712
🤣🤣🤣🤣🤣
Aiseeee
Am serious best! hayo madude yatawaumiza tu
🤣🤣🤣🤣🤣
Aiseeee
Ni kweli kabisa..Am serious best! hayo madude yatawaumiza tu
Ni kweli kabisa..
Watu wanataka matokeo ya haraka ndo tatizo.
Na wengine hata hawana shida Ila ujinga wa kutaka sifa za kibwege
Hakika!!ulimbukeni..wanaume wengi sana malimbukeni...hawaelewi kbs haya mambo!ptu
Best hizo tunakunywa mpaka tunalewaduh.. bia 6000? hata hainogi..unakunywa kwa mawazo
Best hizo tunakunywa mpaka tunalewa
Hivi huwa mnalewa mkinywa Hutu tu juisi?
Jana imefunguliwa rasmi wadau tunalipa kodi kama kawaJana usiku bar ya King'ole iliyopo Mabibo Matokeo kwa binti Kahenga kituo cha Luhanga, imeteketea kwa moto yoote View attachment 1137972View attachment 1137973
Ndo nimeambiwa leo...nitapita hapo baadae.Jana imefunguliwa rasmi wadau tunalipa kodi kama kawaView attachment 1184682
Ndo nimeambiwa leo...nitapita hapo baadae.
Wahudumu walewale au wapya?
Hawajagi, anaweza kuja kukisia nani kapost. Sa hivi Nina uhakika hata Mshana ile si Picha yake.Aliyeko Triniti msasani asogee kaunta tuunge juhudi kwa kulipa kodi pamoja.
nipo na wanangu hapa na Tshitlrt nyeupe jeans nyeusi hata kwa mbali naonekana simind mojambili tatu na mwanachama yoyote humu.Hawajagi, anaweza kuja kukisia nani kapost. Sa hivi Nina uhakika hata Mshana ile si Picha yake.
Poa poa mkuuWapo wale baadhi na wengine wameongezeka
Kweli Mbeya ni shida, mpaka picha imeungua..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndani Ya MbeyaView attachment 1184793
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simu ilkua ana charge bhnaKweli Mbeya ni shida, mpaka picha imeungua..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]