Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Ibungu 1 kulipa kodi
IMG_20190804_194519.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii Ibungu ipo wap mkuu??
Ipo Mabibo Relini
Kama Unatokea kigogo Mwisho, unapita Loyola, Mabibo Mwisho stand unanyoosha km unaelekea ubungo maziwa, ukivuka reli tu mkono wa kushoto ndio utaiona Ibungu mubashara
Kama unatokea Big Brother au kona, Unakuja mpaka Chuo cha Usafirishaji NIT unapita mbele kuna Petrol station [emoji579] Unakunja kulia unavuka reli mkono wa kushoto ndio utaiona Ibungu mubashara
Kama unatokea ubungo stand kupita njia ya ubungo maziwa ukishavuka Ile njia panda ya kuelekea external na makaburi ya UFI bandari ya nchi kavu, mbele kuna kanisa, kisha kuna wakala wa CRDB Bank mbele kidogo kabda hujavuka reli njia inayoelekea Uwanja wa Sahara mkono wa kulia utaiona Ibungu mubashara
Kama unatokea Mabibo Makaburi, external au Riverside Unakuja mpaka mataa ya external Unapitia hiyo njia yenye madaraja mawili barabara ya Shungashunga njia panda ya kuelekea ubungo maziwa na makaburi ya UFI bandari ya nchi kavu,unakunja kulia, mbele kuna kanisa, kisha kuna wakala wa CRDB Bank mbele kidogo kabda hujavuka reli njia inayoelekea Uwanja wa Sahara mkono wa kulia utaiona Ibungu mubashara
 
Wakubwa nipo Nanenane Banda la kunani nakunywa faru na masela ...hivi hii kitu salama?
IMG_20190806_111413_1.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom