Macho ya Wanaume

Macho ya Wanaume

cd0270a476f7ee3e9d1d4917c4404aa1.jpg
chek jamaa anavyotabasam
 
Kwa kiasi kikubwa wanawake ndo waonasababisha wanaume tuvunje shingo kwa mavazi wanayovaa kwa sasa. Kuna mdada mmoja kidogo anisababishie kilema ilibaki kidogo nitumbikie kwene mtaro kwa kuangalia chuguu lake lilivyokuwa latikisika. Hahaaa
Hahaaa. Aisee. Pole sana.
 
Hahaha nilishaachaga ushingo feni mda sana saiv nikipishana na zigo naishia kukemea tu[emoji42]
Kuna wakati unakuta linapita TANGAZO alafu uko na wife kwenye gari, unaishia kusomea kwenye side mirrors !! utafanyaje sasa ndio tulishaumbwa wanaume....!! Hapana chezea matangazo wewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom