Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,018
- 125,977
Hatuvunji shingo bibie, hapo tunamshukuru Mungu kwa kila jambo, muda mwingine feni ikirudi normal unajikuta hadi mada mliyokua mnajadili ushaisahau[emoji2] unaishia kushukuru kwa kupata suuzo la macho.
Hahaaa. Mpaka mnasahau mlichokuwa mnajadili ila bado tu mnaita suuzo la macho. Mmh.
Haya bana.