Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,019
- 125,985
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona unasisitiza sana kuwa huna mzigo?
Nimecheka sana duuh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona unasisitiza sana kuwa huna mzigo?
ahahahaaaa hilo tangazo c mchezo.hapo mnara umesoma 4g jamaa kakinga na mkono
Hivyo uko radhi shingo ivunjike mkuu.
Utakuta wewe ndo unawaumiza watu shingo zao kinoma ukipita mahali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana duuh.
Tunaonya mpaka basi kilichobaki ni kuvumilia tu.Nikubaliane na wewe kuwa wanaume tunatamaa sana. Mtuvumilie na kutuonya.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utakuta wewe ndo unawaumiza watu shingo zao kinoma ukipita mahali
Sasa kuna haja gani ya kuvunja shingo mkuu.Ila kuna mizigo mingine unajikuta tu automatically ushajisevu kwenye long term memory sema ndo ivyo huwezi kuupata[emoji85] [emoji125]
Kula kwa macho, mpini unainuka na kushuka ili kuchungulia. Tunazionea KUFULI hadi basi.Ila kuna mizigo mingine unajikuta tu automatically ushajisevu kwenye long term memory sema ndo ivyo huwezi kuupata[emoji85] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kacha kuangalia labda itokee tu [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Bado mnaona sawa tu mbali na yote hayo mkuu.Kula kwa macho, mpini unainuka na kushuka ili kuchungulia. Tunazionea KUFULI hadi basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda mvae mahijab mjifunike[emoji23] [emoji23] [emoji23]
La sivyo mtageuka tu. MmhLabda mvae mahijab mjifunike
Bila hvyo hamna namna utatusamehe tu kwakweliLa sivyo mtageuka tu. Mmh
Hatuvunji shingo bibie, hapo tunamshukuru Mungu kwa kila jambo, muda mwingine feni ikirudi normal unajikuta hadi mada mliyokua mnajadili ushaisahau[emoji2] unaishia kushukuru kwa kupata suuzo la macho.Sasa kuna haja gani ya kuvunja shingo mkuu.
Aisee. Nyie hamfai hata kidogo.Bila hvyo hamna namna utatusamehe tu kwakweli
Aisee. Nyie hamfai hata kidogo.