leonard mwenda
JF-Expert Member
- Nov 5, 2015
- 253
- 64
Pwahahahaha kaka kuwa muwazi namfahamu yuko mlandizi kuna siku nilimwambia niko kimara akasema nimtumie nauli but nikamwambia njoo Niko na gari utanikuta ndo hapo alipotumbua jipu kwamba niende mpaka kongowe stand nikifika nimjulishe.dah bado kuna watu wana machungu walivyliwa hela na yule dada anayesema umtumieee hela ya nauli