Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Nishajaribu kuwa social wakanichafua sana so nikaamua kuwa solo kuepuka kuharibiwa kazi lakin bado wana mimi.Ok tuseme siko social ila situkan mtu,sidharau mtu,nawapa hi nafanya yangu,wao wanapungukiwa nn?inaadhiri nini mimi kutokwenda nao kwenye supu?nilikuwa nakwenda nilivochafuka nikabadil gia angani saivi nanywa chai ya rangi ofisini,nalo limegeuka kosa? Kweli bongo bahat mbaya
Kuna mtu umefanana nae tabia[emoji1787][emoji1787]
 
Na ndiyo ilipo point yangu hasa. Mimi sijasema kuwa wewe ni mvivu au mzembe wa kazi. Mimi nimesema jaribu kujenga uhusiano mzuri wa wafanyakazi wenzako. Nachojaribu kukushauri nina uzoefu nacho. Na najua kabisa ofisi nyingi za kazi Tanzania mfanyakzi akijifanya ''kimbelembele'' wa kufanya kazi sana au kukataa rushwa huwa anachukiwa. Lakini pamoja na huu utamaduni lakini bado mtu unaweza kuwa mchapakazi na mwadilifu na ukapendwa na wengine. Maelezo yako yanaonyesha wewe unajiona kama mtu exceptional sana ndiyo maana wenzako wanakuchukia. Unajua ule msomo wa kula na kipofu...?
Well said[emoji2958]
 
Yani hapo unaonesha kiasi gani ulivomtu wa ajabu kwa hiyo hao staff wenzio unahisi hawana michongo ya hela? eti nakua busy na laptop sasa kaa na hiyo laptop yako uendelee kufanya ishu zakukuingizia hela acha wenzio wakale bata holiday
[emoji23][emoji23]
 
Habari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.

Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.

Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.

Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.

Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.

Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.

Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.

Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
1 We ni Me au Ke?
2.Kwa nini una kula rushwa wakati ni mtumishi wa umma?
 
Sifatilii rushwa mie
Rushwa anakula maza na rafiki zake,hata wakija takukuru wataona
Natimiza majukumu yangu baaasi
Amekaa serikalin miaka zaidi ya 59 ,hajawah pata ukurugenzi
Anakuja shindana nami kabinti kadogo kakukazaa
Apambane na hali yake
Ana miaka 59 kazini?...sasa hivi ana miaka mingapi?
 
Kwa personality yako ilivyohumu JF hata mimi tusingeiva chungu kimoja.

Kwanza unajiita Iron . Wakati majina ya kike mengi tu mazuri hata mtu akilitaja anakupenda pasipo kumwongelesha.
Huhuuuu
 
Kuna kipindi Fulani nilikuwa napiga kazi sana ofisini nilikuwa kama wewe sina time na.MTU

Jamaa wakaamza kunirundikia kazi zao nikasema waache ujinga .

Nikaanza kuwaonesha taratibu jinsi nilivyo jeuri

Leo hii wakitaka kitu kwangu wanapitia kwa MTU Fulani niliyezooana nae hapo ofisini

Halafu nawachinjia bahari kila MTU abebe zigo lake
 
Kama unamwamini Mungu ndiye mtetezi wako basi mwachie yeye atakulinda. Lakini kuna kitu kinaitwa HEKIMA. If you are as bright and intelligent as you claim, basi fanya utafiti ujue WHY wanakuandama hivyo. Haiwezekani hakuna sababu. Ipo. Mfanye mmoja wao rafiki. Halafu mdodose mpaka akueleze hao wakuchukiao wanakusema una ubaya gani. Inawezekana kabisa UNAJIHESABIA HAKI kwamba kwa kuwa unafanya kazi nzuri basi na mambo yako mengine yooote ni mazuri. Kumbe unaweza ukawa una dharau ambayo wewe huijui.
 
Habari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.

Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.

Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.

Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.

Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.

Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.

Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.

Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
Wanakuonea wivu kaka komaa tu kazin
 
Sijihesabii haki ila nafanya yangu
Na si kwamba sina marafiki idaran nope ninao,wako wa3
Ila tu sinaga story mida ya kazi
Hata mishe zangu hawazijui
Na wanaoniandama ni mkuu wa kitengo na mkuu wa idara ambao hata kiumri wameniacha mbali sana
Wengine niko nao vyema tu
Kama unamwamini Mungu ndiye mtetezi wako basi mwachie yeye atakulinda. Lakini kuna kitu kinaitwa HEKIMA. If you are as bright and intelligent as you claim, basi fanya utafiti ujue WHY wanakuandama hivyo. Haiwezekani hakuna sababu. Ipo. Mfanye mmoja wao rafiki. Halafu mdodose mpaka akueleze hao wakuchukiao wanakusema una ubaya gani. Inawezekana kabisa UNAJIHESABIA HAKI kwamba kwa kuwa unafanya kazi nzuri basi na mambo yako mengine yooote ni mazuri. Kumbe unaweza ukawa una dharau ambayo wewe huijui.
 
Kwa personality yako ilivyohumu JF hata mimi tusingeiva chungu kimoja.

Kwanza unajiita Iron . Wakati majina ya kike mengi tu mazuri hata mtu akilitaja anakupenda pasipo kumwongelesha.
Ok anzia ntajiita daby,are you happy now?btw whats the meaning of daby?
 
Unajua hili swala lako ni too psychological.....

Mwanadamu ni mnyama kama wengine isipokuwa yeye kapewa hekima na utashi wa maamuzi sahihi.

Namna ya kutumia huu "GOD given" utashi ni kupitia mazungumzo ya staha na kusikilizana.....

Jaribu kupata marafiki hata wawili au watatu ambao utakuwa una hang nao pale unapokuwa break na hata ofisini mnakuwa mnachekiana kidogo kidogo........

Hiyo itasaidia sana kukuweka sawa na kukupa emotional relief unapokuwa eneo la kazi.......
Ninao sana,wako wa3
Na najimix kwel
But not during working hours
I always mind my sh*t
 
Back
Top Bottom