Sophoghani
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 395
- 626
Mkuu huwa of unakunywa pombe???
WapotezeeHabari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.
Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.
Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.
Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.
Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.
Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.
Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.
Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
Ndugu miongoni mwa wanaowahi ama kuchelewa sipo
sasa ndugu yangu mbona social life huna kama computer vile af binadam lazima ujijue kua hutakiwi kosa mapungufu so kitendo cha kujisifia tu inaonesha tatizo lako linapoanzia
Sina time na mtu-sasa hizo kazi zako zinafanyikaje maana baadhi ya kitengo lazima boss apitishe
Salamu natoa na nikikabidhiwa jukumu hata kama la sherehe ntalikamilisha vizuri tu-Inaonesha una umuch know..sio kila kitu lazima umalize wewe vyengine jifanye hujui mwombe hata ,mtu akuelekeze
Naingia muda wa serikali na kutoka muda wa serikali-Kazi ni zaidi ya hapo ushawahi enda mtembelea mfanyakazi mwenzio nje ya mda wa kazi
Ila Huwezi nikuta napiga soga muda wa kazi-Hizo ni work culture sio soga zinaitwa bond kwani hata dakika 10 lunch break un
Natoka kwangu nishajua nitafanya nini mwanzo hadi time ya kuondoka-We jamaa unajuaje unafanya nn bila kushirikiana na kupangiwa na boss wako
Afu Huwezi nihukumu eti kisa siendi kunywa nao supu au sipigi story ofcn,sio hobby zangu
Nathamini muda wa magu-kwa style hii naconclude we ni much know..kwanza mtu huwezi jua uwezo wako bali kwa watu wanaokuzunguka..punguza EGO hiyo[/QUOTE
Kuwa kimya ila fuata taratibu za kazi..jaribu kuandika events zote wanazokosea na wasio kuja kazini.. maana ipo siku utaombwa ushahidi na kujikuta ushasahau. Najua utashinda tu.
Inatokea inaitwa Organization climate, itapitaHabari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.
Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.
Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.
Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.
Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.
Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.
Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.
Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
The best way to deal with a hypocrite is to face him/her and have a honest talk with them about how you hate them being in your business and putting you under their microscope......Habari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.
Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.
Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.
Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.
Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.
Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.
Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.
Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
You need a friend there.......tafuta mtu ambaye mtakuwa karibu na atakuwa hang buddy wako, ama sivyo sehemu ya kazi itakuwa ni changamoto sana kuwapoNdugu miongoni mwa wanaowahi ama kuchelewa sipo
Sina time na mtu
Salamu natoa na nikikabidhiwa jukumu hata kama la sherehe ntalikamilisha vizuri tu
Naingia muda wa serikali na kutoka muda wa serikali
Ila Huwezi nikuta napiga soga muda wa kazi
Natoka kwangu nishajua nitafanya nini mwanzo hadi time ya kuondoka
Afu Huwezi nihukumu eti kisa siendi kunywa nao supu au sipigi story ofcn,sio hobby zangu
Nathamini muda wa magu
Mkuu hapo umegusa ndipo....nilivyomsoma jamaa ana aina flani hivi yaa.... sasa wenzie ndio wanakazia hapo hapo ili kumdiss...Jitahidi ku socialize jamaa, kwa management style nyingine wewe ni tatizo, unaondoa group cohesion, badala ya watu kufanya kazi wanafanya za kukukwamisha sasa, five minutes of salamu na soga kabla ya kazi au mda wa kula unatosha kabisa, si ajabu unakosa mengi pia kuwa mbali na wenzako wa kwenye idara yako
Ona sasa hauna amani kwenye eneo lako la kazi, likizo hauendi na utarundikiwa kazi mpaka ufurahi