Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Mabosi zangu wananiandama bila sababu

The iron batterfly

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
1,952
Reaction score
2,527
Habari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.

Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.

Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.

Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.

Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.

Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.

Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.

Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
 
No inachosha aiseeh
Kama nimeomba ruhusa ya kula sikukuu,nimenyimwa wakati wengine kibao wamepewa
Na muda mwingi hata ofisini hawaonekan
Sitak hata hizo zawadi zao kwani wananinyanyasa kisaikolojia
Napata wasiwasi huenda wewe ndiyo mwenye kasoro! Inakuwaje sehemu ya kazi watu wengi namna hiyo wakuandame? Inaonekana pengine social life yako ina makandokando mengi. Mimi nadhani unatakiwa ujiangalia upya. Uchapakazi ni pamoja na kuwa na uhusiano mzuri na wafanyakazi wenzako, bila kujali upungufu wao. Ni watu wengi huwa wanadhani kuwa mfanyakazi bora ni kuwahi kazini na kufanya kazi kwa bidii basi! Hilo ni kosa! Hata kama uu mchapakazi namna gani kama huwezi kuji-adapt na mapungufu ya wafanyakzi wenzako na ukawa na uhusiano mzuri nao basi una kasoro.
 
Hata kwenye lunch zao siendi.

Sina stori nao.

Sina maswala ya udaku, soka wala nini.

Naona kosa lako ni hilo la kuishi kama vile uko peke yako.

Yaani watu wa udaku wakisema unaringa, hakuna watu wa soka wa kuwaambia jamani hua tunakutana naye kwenye soka.
 
Kwa namna ulivyokua unawajibu watu kwenye baadhi ya threads humu JF inaonekana hujui namna ya kuishi na watu regardless ya uwezo wako wa kufanya kazi ni mkubwa au la.

"When in Rome, do as the Romans do".
 
Ndugu miongoni mwa wanaowahi ama kuchelewa sipo
Sina time na mtu
Salamu natoa na nikikabidhiwa jukumu hata kama la sherehe ntalikamilisha vizuri tu
Naingia muda wa serikali na kutoka muda wa serikali
Ila Huwezi nikuta napiga soga muda wa kazi
Natoka kwangu nishajua nitafanya nini mwanzo hadi time ya kuondoka
Afu Huwezi nihukumu eti kisa siendi kunywa nao supu au sipigi story ofcn,sio hobby zangu
Nathamini muda wa magu
 
Hata kwenye lunch zao siendi.

Sina stori nao.

Sina maswala ya udaku, soka wala nini.

Naona kosa lako ni hilo la kuishi kama vile uko peke yako.

Yaani watu wa udaku wakisema unaringa, hakuna watu wa soka wa kuwaambia jamani hua tunakutana naye kwenye soka.
Jamen sio hobby zangu
Kwani niliajiriwa kupiga soga ofisini?
Zamani nilikuwa naenda kwenye supu wakawa wanapeleka taarifa ninaspend sana hela,nikaacha
 
Zaidi ya salamu sinaga story na mtu ofcn trust me
Is it a crime kutokuzoeana na watu?
Wakileta kazi tunafanya ila kwenye hayo mengine sinaga story,most of the time kama sijaenda site niko busy kutoa kazi za wananchi
Kwa namna ulivyokua unawajibu watu kwenye baadhi ya threads humu JF inaonekana hujui namna ya kuishi na watu regardless ya uwezo wako wa kufanya kazi ni mkubwa au la.

"When in Rome, do as the Romans do".
 
Habari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.

Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.

Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.

Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.

Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.

Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.

Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.

Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
unafanya kazi wapi?? maana hao wafanyakazi wenzako wanaonekana ni majipu
 
Kazi zipi?mie bado mdogo sijafika hata level ya ukuu wa idara
Am always minding my business
But siko mzembe,siwezi ishi kwa mazoea ilhal nina ndoto na career yangu
Am simply creating my cv
And trust me idara zingine,wananipenda sana kila mtu ananijua kwa huduma zangu nzuri na wakifika kwa ofic lazima waniulizie
Eithier unawaharibia kazi zao. Au unawakera wanaona utachukua nafasi. Wanataka wakutoe kwenye mood ili ushindwe kufanya kaz.. ili ufukuzwe
 
Back
Top Bottom