Moja kati ya law of power inasema "kamwe usijinyanyue ukaonekana una uwezo mkubwa na tushio kwa walio juu yako kicheo" maana hutofika mbali na utashindwa kutimiza ndoto zako, kwa maana lazima wakufanyie figisu tu....
Binadamu naturally tumeumbwa na wivu kwa maana tumeumbwa kwa mfano wake yule aliye mkuu na mwenye wivu, sasa wewe umejinyanyua na umeonekana tishio kwa walio juu yako, kwa mantiki hiyo umeshavunjwa law moja wapo ya power, hivyo lazima ukose power katika sehemu yako ya kazi....! Siku zote sehemu za kazi jitahidi usiwe na kundi wala usiwe mbinafsi kuwa mtu wa watu.....!
Act like a friend but ur a spy..! Jifanye mjinga usiejua kitu ila kumbe unakamata maboya hapo utadumu....! Usiruhusu adui yako ajue nguvu zako zilipo atakumaliza...
Then be humble man, usiwe mnoko, mjuaji, mjivuni na mbinafsi hata kama ni mchapa kazi kiasi gani utachemka tu