Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Niko kimya tatizo pamoja na ukimya wananichokonoa
Huyu mkuu wa idara wakati mwingine ananitolea maneno ya kuudhi ili nimjibu apate pa kuanzia sema napiga kimya tu
Kuwa kimya ila fuata taratibu za kazi..jaribu kuandika events zote wanazokosea na wasio kuja kazini.. maana ipo siku utaombwa ushahidi na kujikuta ushasahau. Najua utashinda tu.
 
Kweli ila inachosha saa zingine
Siko hapa kujitetea but inachosha,
Rizki kweli napata namshukuru mola,ila nao mbona wanapiga?tena hela za serikali na hatusemi tuko kimya na mambo yetu,wala hatuwafatilii,
Aiku zote penye riziki hapakosi uadui ww komaa tuu ni kwa muda yote yatakwisha
 
Habari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.

Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.

Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.

Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.

Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.

Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.

Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.

Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
Huu ujumbe mpenyezee anko Jiwe sooni UTATEULIWA,
 
Hao wanaokupiga pini wameshindwa kutambua w n mtu wa namna gani life style unayoishi ni bora sana kuliko kuwa mingle. Pia ungeficha na uhusianao wako wasijue kwani wanatafuta sababu ya ww uonekane ni shetani kazini
 
Nishajaribu kuwa social wakanichafua sana so nikaamua kuwa solo kuepuka kuharibiwa kazi lakin bado wana mimi.Ok tuseme siko social ila situkan mtu,sidharau mtu,nawapa hi nafanya yangu,wao wanapungukiwa nn?inaadhiri nini mimi kutokwenda nao kwenye supu?nilikuwa nakwenda nilivochafuka nikabadil gia angani saivi nanywa chai ya rangi ofisini,nalo limegeuka kosa? Kweli bongo bahat mbaya
Ushauri wangu mimi.

Fanyia kazi socializing skills.
 
No haimaanishi siongei na watu noo
but sipotezi muda wa kazi kizembe kwa non issues that's all
Nayatumia masaa ya kazi kupiga kazi after that tukutane viti virefu tulonge hadi uchoke
But siyo saa 2 asubuh unikute napiga soga zisizo na tija never
Hao wanaokupiga pini wameshindwa kutambua w n mtu wa namna gani life style unayoishi ni bora sana kuliko kuwa mingle. Pia ungeficha na uhusianao wako wasijue kwani wanatafuta sababu ya ww uonekane ni shetani kazini
 
Jitahidi ku socialize jamaa, kwa management style nyingine wewe ni tatizo, unaondoa group cohesion, badala ya watu kufanya kazi wanafanya za kukukwamisha sasa, five minutes of salamu na soga kabla ya kazi au mda wa kula unatosha kabisa, si ajabu unakosa mengi pia kuwa mbali na wenzako wa kwenye idara yako

Ona sasa hauna amani kwenye eneo lako la kazi, likizo hauendi na utarundikiwa kazi mpaka ufurahi
 
Sikushangai maana nina experience the same thing,watu wakikuona sio muongeaji wanajua unaringa kumbe ndivyo ulivyo zaliwa mi naona ujikubali na watakuzoea tu
Habari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.

Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.

Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.

Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.

Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.

Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.

Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.

Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
 
Thanks siwezi acha kazi ila inakera
Mtu anakuandama day in day out
Kwahiyo walitaka serikali sote tuwe wazembe?serikali inalipa mishahara watu washinde wakipiga soga?sasa tija itapatikanaje?halafu tunasema nchi haisogei mweeh
Fanya yako mkuu kwani ww umeenda kuwafanyia kazi wao piga kazi mazingira yakiwa magumu hama ila usijiloge kuacha kazi utajuta kuzaliwa
 
Salamu natoa ila sina magroup wala kupoteza muda kujadil sijui man u ama arsenal sorry sina
Jitahidi ku socialize jamaa, kwa management style nyingine wewe ni tatizo, unaondoa group cohesion, badala ya watu kufanya kazi wanafanya za kukukwamisha sasa, five minutes of salamu na soga kabla ya kazi au mda wa kula unatosha kabisa, si ajabu unakosa mengi pia kuwa mbali na wenzako wa kwenye idara yako

Ona sasa hauna amani kwenye eneo lako la kazi, likizo hauendi na utarundikiwa kazi mpaka ufurahi
 
Pole sana. Hata mie nimepitia hiyo shida. Ila nilipowatishia kuwa naondoka, basi ndio wamenibadilishia job description kwa kuiwekea %. 60% ni kufanya kazi za muajiri. 20% ni interdepartmental ila 20% ni kufanya kazi za kujikomba komba. Nimeanza kufanya hivyo ili watoto wangu wasije kukosa ugali.
 
Thanks siwezi acha kazi ila inakera
Mtu anakuandama day in day out
Kwahiyo walitaka serikali sote tuwe wazembe?serikali inalipa mishahara watu washinde wakipiga soga?sasa tija itapatikanaje?halafu tunasema nchi haisogei mweeh
Yaani kwenye halmashauri zetu ni uvundo mtupu tena hakuna kinachonikeraga kama kwenda kwenye ofisi za akina Dada yaani huwaga ni shida hawa viumbe ukiwakuta ofisini

Ila vumilia tu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho
 
Ndugu miongoni mwa wanaowahi ama kuchelewa sipo
Sina time na mtu
Salamu natoa na nikikabidhiwa jukumu hata kama la sherehe ntalikamilisha vizuri tu
Naingia muda wa serikali na kutoka muda wa serikali
Ila Huwezi nikuta napiga soga muda wa kazi
Natoka kwangu nishajua nitafanya nini mwanzo hadi time ya kuondoka
Afu Huwezi nihukumu eti kisa siendi kunywa nao supu au sipigi story ofcn,sio hobby zangu
Nathamini muda wa magu
Na ndiyo ilipo point yangu hasa. Mimi sijasema kuwa wewe ni mvivu au mzembe wa kazi. Mimi nimesema jaribu kujenga uhusiano mzuri wa wafanyakazi wenzako. Nachojaribu kukushauri nina uzoefu nacho. Na najua kabisa ofisi nyingi za kazi Tanzania mfanyakzi akijifanya ''kimbelembele'' wa kufanya kazi sana au kukataa rushwa huwa anachukiwa. Lakini pamoja na huu utamaduni lakini bado mtu unaweza kuwa mchapakazi na mwadilifu na ukapendwa na wengine. Maelezo yako yanaonyesha wewe unajiona kama mtu exceptional sana ndiyo maana wenzako wanakuchukia. Unajua ule msomo wa kula na kipofu...?
 
Back
Top Bottom