Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Na ndiyo ilipo point yangu hasa. Mimi sijasema kuwa wewe ni mvivu au mzembe wa kazi. Mimi nimesema jaribu kujenga uhusiano mzuri wa wafanyakazi wenzako. Nachojaribu kukushauri nina uzoefu nacho. Na najua kabisa ofisi nyingi za kazi Tanzania mfanyakzi akijifanya ''kimbelembele'' wa kufanya kazi sana au kukataa rushwa huwa anachukiwa. Lakini pamoja na huu utamaduni lakini bado mtu unaweza kuwa mchapakazi na mwadilifu na ukapendwa na wengine. Maelezo yako yanaonyesha wewe unajiona kama mtu exceptional sana ndiyo maana wenzako wanakuchukia. Unajua ule msomo wa kula na kipofu...?
Ok wakinipotezea wanapungukiwa nn?kwa mfano
Kwann uhangaike na garasa?
 
Habari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.

Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.

Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.

Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.

Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.

Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.

Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.

Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
Wengine tuliandamwa hadi tukafukuzwa kazi kiuonezi we komaa nao tu kitaeleweka
 
Yaani kwenye halmashauri zetu ni uvundo mtupu tena hakuna kinachonikeraga kama kwenda kwenye ofisi za akina Dada yaani huwaga ni shida hawa viumbe ukiwakuta ofisini

Ila vumilia tu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho
Yes wanataka tushinde tunapiga story za mobeto na mabwana
Ukiwa tofauti kosa
Heh sikupoteza miaka yangu darasan kuja kumjadil mtu
 
Habari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.

Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.

Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.

Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.

Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.

Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.

Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.

Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
Issue iko hapo chini
UNACHUKUA/UKO KARIBU NA DEMU YA BOSS
 
Exactly natengeneza cv yangu
Nina plan za kufanya kazi un trust me ,so siwez poteza time yangu kwenye soga zisizo na tija never
Nimeyaona hayo kwenye maofisi ukiwa serious unaonekana ni mtu uko primitive lakini wewe piga kazi huwenda ndio likawa daraja lako la kukupeleka one step ahead
 
Mkuu ofisi ni sehemu ya maisha yako. Jaribu kucheza na psychology ya mabosi zako kuwa bright ni moja lakini lazima ubalance life na job. Endelea kujishusha ..Badilika kidogo tu upige nao story. Kuwa simple nakuhakikishia sasa hivi utaukwaa ukuu wa idara.
 
Story napiga sana ila sio utanikuta loose kwenye makorido never
Naongea na kila mtu
Tatizo maza anahisi nataka cheo chake wakat hata sifa sina
Mkuu ofisi ni sehemu ya maisha yako. Jaribu kucheza na psychology ya mabosi zako kuwa bright ni moja lakini lazima ubalance life na job. Endelea kujishusha ..Badilika kidogo tu upige nao story. Kuwa simple nakuhakikishia sasa hivi utaukwaa ukuu wa idara.
 
Kunifukuza hawawezi alinileta Mungu hapa sikuja na kimemo
Na sikuja halmashauri kupiga soga
Ndugu unadhani cc wengine tulipelekwa na shetani? Watesi wako wanapojipanga kukuwekea zengwe, siku likiiva hutaamini kama ndio yameshakufika, na mbaya zaidi huko mbele ya safari unapoitafuta haki yako serikali wala hajishughulishi kujua ulikuwa mzalendo kiasi gani kwenye kazi na nchi yako. so usijiamini sn

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
When in Rome, do as the Romans do.
(a.k.a usiwe tofauti, wana wanakuona kama unajifanya "mzungu")
 
Mungu aliyenileta hapa ndio atanipigania sina mtetezi mwingine

Back
Top Bottom