Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Vaa shati la takukuru/ama shati limepigwa chata hapa kazi tu ...beba na kadi ya chama mkononi.....alafu ongea kisukuma....kwenye simu hakikisha wanasikia...kama hujui jifunze maneno mawili matatu....utapata matokeo chanya mkuu...duniani mbinu.....
 
Siwazibii manake yeye boss ila najua machafu yake yote na wenzie na naweza muumiza nikiyamwaga
So anajihami kama kutaka kunitisha
Mie najipigia mishe zangu clean kwa wananchi sina kwere
Wao wamekula hela za magu zenye ushahidi so anapanic anahis ntamchoma wakat cna time naye najua mjomba kwa muda wake atamzukia tu
Nilijua kuna uzibe wanaona
Sasa usijali hapo ahesabu siku tu
 
Dear, that's your fate learn to accept it. Kuna watu sijui nini kipo ndani yao huwa wanakutana na vikwazo vingi sana no matter how good they are, unakuta hana kiburi hana dharau si mbea mbea, hana tabia zozote zile zinazoweza kuathiri mwingine negatively still anapigwa vita kubwa sana. Binafsi huwa naamini watu wa namna yako ni threat popote walipo ndio maana hukutana na mashambulizi, huwa nairelate hii hali kuwa ni hali ya kiroho hata kama unaweza usiwe warohoni sana. Unavyoishi ndiyo namna sahihi yakuishi sehemu yoyote ile, as long as huwanyimi salamu, huwanyimi stori mbili tatu you are right sweetheart. Ishi maisha yako wakikufanyia zengwe ukaachishwa kazi your destiny was not there..... wasikutie stress, Poa moto, piga kazi mdada.

Bottom jaribu kujifanyia self assessment toka ulivyoanza kuishi katika makundi ya watu mfano shuleni O&A level ama chuoni hali ya kukutana na mashambulizi ilikuwa kama ya sasa au hiyo imekukuta kazini tu? Kama ni kazini tu jua kuna namna unagusa/zuia maslahi ya watu (yanaweza kuwa material or non materia), lakini kama hali hiyo ilikuwa ikikukuta toka zamani jua ni kitu kipo ndani yako hasa kinachohusiana na mambo ya rohoni, inakuwa kama sehemu ulipo watu hawashine mpaka uondoke. Halafu unakuta wala si mzuri wa kutisha, elimu kawaida, au kama ni darasani unakuta uwezo wa kawaida, kipato ulipotokea unakuta kawaida basi tu unaandamwa.
 
Angalizo au ww ni Li Anti social....kama hiyo ndio tabia yako nenda kajiajiri....jifunze kujichanganya na wenzako kiuongo na kweli...usiwe sanamu....
 
Since zaman huwa nashine tu
Ilikuwa hata akihamia mtu shule ataletwa kwangu nimpe orientation
Nimekuwa leader since childhood
I don't know may be that's y my calling
Dear, that's your fate learn to accept it. Kuna watu sijui nini kipo ndani yao huwa wanakutana na vikwazo vingi sana no matter how good they are, unakuta hana kiburi hana dharau si mbea mbea, hana tabia zozote zile zinazoweza kuathiri mwingine negatively still anapigwa vita kubwa sana. Binafsi huwa naamini watu wa namna yako ni threat popote walipo ndio maana hukutana na mashambulizi, huwa nairelate hii hali kuwa ni hali ya kiroho hata kama unaweza usiwe warohoni sana. Unavyoishi ndiyo namna sahihi yakuishi sehemu yoyote ile, as long as huwanyimi salamu, huwanyimi stori mbili tatu you are right sweetheart. Ishi maisha yako wakikufanyia zengwe ukaachishwa kazi your destiny was not there..... wasikutie stress, Poa moto, piga kazi mdada.

Bottom jaribu kujifanyia self assessment toka ulivyoanza kuishi katika makundi ya watu mfano shuleni O&A level ama chuoni hali ya kukutana na mashambulizi ilikuwa kama ya sasa au hiyo imekukuta kazini tu? Kama ni kazini tu jua kuna namna unagusa/zuia maslahi ya watu (yanaweza kuwa material or non materia), lakini kama hali hiyo ilikuwa ikikukuta toka zamani jua ni kitu kipo ndani yako hasa kinachohusiana na mambo ya rohoni, inakuwa kama sehemu ulipo watu hawashine mpaka uondoke. Halafu unakuta wala si mzuri wa kutisha, elimu kawaida, au kama ni darasani unakuta uwezo wa kawaida, kipato ulipotokea unakuta kawaida basi tu unaandamwa.
 
Sasa nikiwa anti social sipaswi kutumikia watanzania?
Nalipwa mshahara kupiga soga ama kudeliver?
Hahahahahah
Angalizo au ww ni Li Anti social....kama hiyo ndio tabia yako nenda kajiajiri....jifunze kujichanganya na wenzako kiuongo na kweli...usiwe sanamu....
 
Sasa nikiwa anti social sipaswi kutumikia watanzania?
Nalipwa mshahara kupiga soga ama kudeliver?
Hahahahahah
Jifunze kanuni za kujichanganya zitakusaidia...kuna siku utaondoka humo ofisini...jamaa watakukimbia....bila msaada...hebu jaribu kutazama maisha kwa pande zote
 
Mleta mada hao mabosi wako wanatabia Kama ya Zee FULANI nili kuu la shule FULANI LIMBEAMBEA KAZI KUPELEKA UMBEA KWA AFISA UTUMISHI MARA KWA MKUU WA IDARA SIJUI HII MIJITU HUPATA FAIDA GANI KUWAZUSHIA WENZAO.
 
Habari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.

Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.

Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.

Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.

Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.

Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.

Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.

Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
Du.....pole kijana ,yamewapata wengi matatizo kama hayo.

Kwa kifupi, weledi wako umewatangazia vita vibosile ambao kazi zao unaweza kuzimudu.

Reaction yao sasa ni kukuondoa hapo kazini ili kulinda vyeo vyao vya mazoea.

Chukua tahadhari, watakutengenezea kesi za kughushi na hata kudiriki kukufunga.

Siye yameshatutokea.

Kitu cha kufanya, aidha omba uhamisho wa wizara au omba kazi hata private inayolingana na ujuzi na weledi wako.

Kimaisha unaelekea ni mtu serious na kazi na una maisha marefu mbele yako.

Fast foward, unaweza kuwa kibosile 20 years to come, na hao jamaa watakuja ofisini kwa kuomba msaada, wasaidie tu kama hujawahi kuwaona.
Dunia ni duara.
 
Thanks narudi shule sasa
Nijipange kwanza

Wewe ni jinga sana sema tu hujijui ishi kutumia akili na maarifa sio kazi kazi tu. Tutakufyekelea mbali. Utajiri ni watu sio vitu nazani umenipata.
 
Imewahi Nikita hii kwenye flan ya kiselikali, mpk nikaachishwa kazi kwa zengwe kubwa mmmno!. Iko hivi, no matter what, baada ya kujua kasoro za mabosi wako, tenga muda wa kutafuta kasoro within yourself and be super honest, firm and fair. Nilipojitafakari, nilikuja kugundua Nina kasoro kadhaa;
1. Nilikua mkweri kupita kiasi, japo nilimweshimu kila mtu
2. Nilikuja namzidi bosi wangu elimu na utendaji. So nilikuja napiga kazi mpk zinaomba poo, bosi anaonekana yy ndie anakasoro wazi kbs
3. Nilikuja kikazi kweri kweri, yaan kama ww mkuu. Maisha kazini hayapo ivo,

Kama upo vzr unajiamini kwa kazi zako, jiajiri mkuu, ukigonga 30 hapo, itakua issue sn. Kuajiriwa ni kwa ajili ya generation kumi zilizopita kwa mtu anaejitambua vyema!
Kwa uandishi huu boss wako ni kilaza zaidi
 
Mie sitoki nitapambana hadi tone la mwisho la damu
Boss wangu namzid sana
Nilipogundua anashindana nikaanza jipa majukumu mapya kwenye job description yangu
Mengine nikamwachia kabisaa
Tatizo hata kwenye yangu nayofanya ananifatilia sana,wanaweza wasije wote kazin hata wiki na asijal ila nikikosekana tu mie fasta anaenda niripot kwa mkuu wa idara,nilimgundua anataka mashindano nikampotezea manake ningesema tushindane ningemwaibisha vibaya mno. Tatizo bado anafatilia nyendo zangu, ananitolea hadi maneno ya kashfa kunidhalilisha utu wangu kama mwanamke,ila nimekaa kimya kwan am my own race .Sikuja halmashauri kushindana na yeyote.Natafuta ugali wangu siku ziende period.
Tatizo na wewe kiherehere kimekuzidi inaonyesha dhahiri unapenda ligi
 
Back
Top Bottom