Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Mabosi zangu wananiandama bila sababu

Inaonekana unawazibia ulaji, i mean rushwa.
Hapo sio kingine maana inaonekana unafanya kazi inavyotakiwa.
Sasa unawafingia mlo wapenda rushwa

Wewe wasikubadili ingawa hujagusia au labda sio hili
 
Nyie ndio wale much know ofisini mnajifanya kujua sana kazi, acha hizo jichanganye na wenzie jihusishe na shughuri za kijamii hapo ofisini, mimi ofisi nzima inajua navuta bangi na hata muda wa kazi nikiona mambo hayaendi najiendea kwenye gari nanyonga moja narudi, naenda sawa na kila mmoja hadi mkuu wa idara ambaye ambaye ni mlokole kupitiliza hata nikichelewa ofisini hunitania kuwa niliyovuta siku hiyo imenizidia, acha kujifanya serious maisha mafupi simaanishi uwe na shobo ila ila jaribu kusocialize kazi zipo tu utakufa utaziacha.
 
Acha ujinga nakuwa busy na ishu za kuniingizia hela kama hujui,so wanakasirika
Ukiniona niko busy na laptop ujue nshavuta mpunga hahahahahah mie siyo boya

Sina shobo na kiti chake
Nitakuwa tu kama Mungu kanipangia
Siwezi kuwa rafiki na nyoka ili aniume
Akinikuta hata kwenye korido full vijembe na maneno ya kunidhalilisha ili nimjibu sa mtu kama huyo si wakumkalia mbali tu
Kuwa rafiki yake tu , Kama Mungu makejujaliwa kuwa bosi utakuwa tu wala usipapalike na nafasi yake.
 
Acha ujinga nakuwa busy na ishu za kuniingizia hela kama hujui,so wanakasirika
Ukiniona niko busy na laptop ujue nshavuta mpunga hahahahahah mie siyo boya
Yani hapo unaonesha kiasi gani ulivomtu wa ajabu kwa hiyo hao staff wenzio unahisi hawana michongo ya hela? eti nakua busy na laptop sasa kaa na hiyo laptop yako uendelee kufanya ishu zakukuingizia hela acha wenzio wakale bata holiday
 
Inaonekana unawazibia ulaji, i mean rushwa.
Hapo sio kingine maana inaonekana unafanya kazi inavyotakiwa.
Sasa unawafingia mlo wapenda rushwa

Wewe wasikubadili ingawa hujagusia au labda sio hili
Siwazibii manake yeye boss ila najua machafu yake yote na wenzie na naweza muumiza nikiyamwaga
So anajihami kama kutaka kunitisha
Mie najipigia mishe zangu clean kwa wananchi sina kwere
Wao wamekula hela za magu zenye ushahidi so anapanic anahis ntamchoma wakat cna time naye najua mjomba kwa muda wake atamzukia tu
 
Am living my life man
Sina time na mtu isipokuwa ikiwa ya kikazi ok,ila personal sina time
Sikusoma kuja kufatilia maisha ya mtu ofcn am sorry
Yani hapo unaonesha kiasi gani ulivomtu wa ajabu kwa hiyo hao staff wenzio unahisi hawana michongo ya hela? eti nakua busy na laptop sasa kaa na hiyo laptop yako uendelee kufanya ishu zakukuingizia hela acha wenzio wakale bata holiday
 
Habari za jioni wana jf.
Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree.

Ishu iliyofanya nilete uzi huu,boss wangu kwa maana ya Mkuu wa idara,mkuu wa kitengo na wazee flani wananiandama sana ofisini.

Niko vizuri kwenye kutimiza majukumu yangu.Nikifika job sina muda wa kupoteza kwenye machai wala soga za siasa,mpira,udaku ama lolote.Nikifika after salamu za hapa na pale na kusaini naket kwenye meza yangu napiga kazi kwa malengo niliyojiwekea.Nikiri uwezo wa kazi ninao na ni mwepesi kuelewa mambo.

Kwenye chai ama lunch zao siendi. Nashukuru Mungu nimepata wigo wa kufahamiana na watu wengi sana ambao kifupi wananiletea kazi za hela si haba.Yani nikikubaliana na mtu,njoo kesho uchukue kazi yako ujue itakuwa hivo.Napenda sana kukeep promise na kuitimiza.Hiyo imefanya nipendwe na wateja wengi na hata maboss wa idara nyingine ni rafiki zangu sana ingawa ni watu wazima.wakiwa na ishu kwenye field yangu lazima wanitafute.

Wafanyakazi wenzangu kwenye idara wanawahi job 12 kamili wapo ila ikifika saa 4 asubuh hawapo,ama wakiwepo ni kuzunguka kwenye korido na maofisini wakipiga soga.
Wanachukua ruhusa kila mwezi na wanapewa,ila nikiomba mie nitawekewa mizengwe hadi nijute. Wengine wanakuja j3 na j4 then hawaonekani hadi j3 inayofata na inakuwa siyo kesi.

Ila itokee nisionekane hata siku moja inageuka kesi,najadiliwa hadi kwenye vikao vya idara.Nimechoka kusakamwa na hawa maboss.Najiuliza why me.Sina dharau wala shobo na mtu.Nawaheshimu kama maboss zangu Sema tu nimejiweka mbali na hao maboss kwani sina tabia ya kujikombakomba bila sababu kwa mtu.

Wananichafua kila sehemu.hata kama jambo sijafanya wala kusema nitatajwa tu.imagine boss wako anamwita mtu anayehisi ni mpenzi wako anamwambia kaa mbali na flani hafai.

Naombeni ushauri nifanyeje? Ama nihame halmashauri manake imekuwa too much.
Tatizo umeshajionesha ni mchapa kazi hodari sasa hao wenzako wanaotega hawaulizwi kwa kuwa hawana impact kazini, sasa jembe wewe ukitega bila sababu lazima uanzishiwe zengwe, hii kitu ipo maofisi mengi sana usione inatokea kwako tu, ukionekana mchapa kazi na mwenye kiherehere basi ujue unajichimbia kaburi mzee utasakamwa mpaka, halafu mzee baba na hivi hujichanganyi utakoma, na hapa ndipo unapokosea kwanini hujichanganyi mzee hata stori za mpira huna mkuu kweli we kiboko, wewe nawe umezidi mzee, piga story japo hata za migegedo kidogo na vijana wenzako
 
Mie mwanamke story za mpira wapi na wapi?am the performer
 
jipange kielimu au kifedha usepe dunia kubwa hii hakuna haja ya kufutiliana kama kumbikumbi bwana
 
Back
Top Bottom