Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,388
Factor ya upendo bado ni ngumu kuijua kwasababu hujajua target yake ni nini. Inaweza isiwe ni upendo kukawa na jambo jingine tofauti kabisa ila akakuficha kwa kukuoa tabasamu fake na kicheko fakeKama mwanaume angezingatia factor ya upendo halisi kama alivyokuwa ameahidi na kumwonesha mwenziwe hadi akasema Yes I do, over 90% ya ndoa zinazovunjika zisingevurugika. Did you know that katika 8 out of 10 marriages, mwanaume ndiye wa kwanza kubadili gia za uhusiano ule murua!??? Na almost all problems zinazosababisha ndoa kuvunjika ni preventable kabisa!??? Na wengi sana baada ya talaka na kuachana huwa wanaujutia uamuzi wao, but wakiwa too late??? Did you know even before talaka kutolewa, kuna mmoja mwanandoa anasema BUT WE CAN IMPROVE THIS, mwingine anasema NO WAY!???
Sacrifice yanini initoe makovu mengine?Ndoa = love = sacrifice = selflessness = commitment
Kama unatafuta perfect partner, ngoja kidogo akizaliwa.
Scars
Kama hiyo ndiyo mindset huwezi kusavaiv na mtu yeyote (eg. rafiki tu wa kawaida), hata kama si mwenzi wa ndoaSacrifice yanini initoe makovu mengine?
Yani nitie risk furaha yangu kwenye swala la hiari kama ndoa wakati nje ya hapo napata furaha bila sacrifice?
Fakers wote washajua kua njia nyepesi za wao kusanukiwa ni kuvaa mavazi yasiyokubalika na utamaduni wa kistaarabuNaendelea...
Mwenye tabia njema hujulikana mzee na mwenye tabia mbaya hujulikana kadhalika.
Kwangu mimi mwanamke asiyefanya ibada huyu hafai kuolewa, mwanamke asiyejisitiri huyu hafai kuolewa, mwanamke mshirikina huyu hafai kuolewa, nje ya hapo mwanamke anafaa kuolewa, sababu tabia hizo nyingine ni za kuvumilika na mtu anaweza kujirekebisha sababu hakuna aliye zaliwa na tabia mbaya au nzuri.
Sababu sisi Wanaume ni wasimamizi wa Wanawake basi tabia nyingine kama uchoyo, gubu hivi ukimsimamia mwanamke ana badilika tena kwa urahisi, shida ni kuwa vijana wengi wa kiume hawawezi kuwasimamia wanawake.
Tatu mtu haukumiwi kwa yale yaliyopita katika tabia mbaya, kama alipata kutubu na kurejea huyu huweza kuwa mzuri wa tabia kuliko wengine.
Nijuavyo mimi watu wanaoa ili kupata utulivu wa nafsi zao kwa kuinjoy maisha ya ndoa. ulichokiandika pale n kama betting kwamba liwalo na liwe so what you need to do is to sacrifice yourselfKama hiyo ndiyo mindset huwezi kusavaiv na mtu yeyote (eg. rafiki tu wa kawaida), hata kama si mwenzi wa ndoa
Kijana huelewi wapi ? Tabia njema inaonekana ndiyo maana tukaambiwa tukitaka kuoa tuangalie mwanamke mwenye tabia njema.Ni kweli tabia njema ndio sifa bora ya mwanamke ambayo wengi hupenda wakutane nayo kwa wenza wao
Lakini hiyo tabia haijioneshi tu kama rangi yake ya ngozi inavyoonekana na watu wote wenye uwezo wa kuona
Hiyo tabia njema huwezi kuijua kwa dakika tano kama ambavyo wewe unatudanganya hapa. Kadhalika ukiona umeona tabia njema kwa muda mfupi huo inabidi ustuke mapema tena usifurahie hiyo hali ikiwezekana usijisumbue tena kumdadisi kiundani na hiyo ndio iwe sababu ya kumuacha mazima
Nimecheka sana. Sisi huwa tunasema hivi "Ndege hufananao huruka pamoja". Mwenye kuiga tabia njema hufahamika kupitia kwa walw wanao mjua ndiyo maana kanuni niliyo iweka hapo juu haina dosari. Akiigiza hayo maigizo tunayapata kupitia wale wanao mjua.Fakers wote washajua kua njia nyepesi za wao kusanukiwa ni kuvaa mavazi yasiyokubalika na utamaduni wa kistaarabu
Hapo tayari kaisha chukua pointi tatu zako mapema kabisa
Watu tumeona mademu ulokole umewazidi mpaka ile sala ya wa kuombea msosi ananena kwa lugha lakini bado ni masnitch
Watu tumeona wanawake wanaojisitiri wanavaa majuba na kufunika nyuso zao kila time ukipita kibarazani kashikilia msaafu na apapiga swala tano lakini bado ni mafia
Hizi njia zako unazozipendekez wewe, wanawake wajanja walishazistukia mapema sana just stay updated bruh things have been changed now
Aah! Kumbe umejua.. Mtu kua bikra sio kigezo cha kuwa mke mwema. Mke mwema Mungu anakupaSio kuoa bikra, sema hongera kwa kuoa mke mwema
Takwimu zinaonesha wazi kati ya mambo 8 makuu yanayosababisha kukosa furaha ndoani, michepuko, mahusiano hafifu, ugomvi & talaka --- namba moja ni uchumi duni wa wanandoa. Likelihood ya ndoa kudumu penye pesa ni kubwa sana. Yaani, kwa mfano halisi, hakuna mtu mwenye anaamini Zari & Diamond wameachana. It is as though yuko anafanya business tu huko ila wangali mtu na mzazi mwenzie.
Utaijuaje kua hii unayoiona ndio tabia njema ya huyo mtu na sio kwamba ni scripts inachezwa ili ayafikie malengo yake?Kijana huelewi wapi ? Tabia njema inaonekana ndiyo maana tukaambiwa tukitaka kuoa tuangalie mwanamke mwenye tabia njema.
Habari kutoka kwa wanaomjua nimekuambia sio za kuaminika. Lets say kwamba ana marafiki wa tangu utotoni walio shibana, hivi unafikiri ukiwafata hawa watakua tayari kumsaliti rafiki yao kwa kuanika maovu yake? Hapana lazima watakupa habari ambazo wewe unazitaka zitakazo kufurahisha ili umuone mwemaNimecheka sana. Sisi huwa tunasema hivi "Ndege hufananao huruka pamoja". Mwenye kuiga tabia njema hufahamika kupitia kwa walw wanao mjua ndiyo maana kanuni niliyo iweka hapo juu haina dosari. Akiigiza hayo maigizo tunayapata kupitia wale wanao mjua.
Hivi diamond na zari wana ndoa hawa au wana date?Takwimu zinaonesha wazi kati ya mambo 8 makuu yanayosababisha kukosa furaha ndoani, michepuko, mahusiano hafifu, ugomvi & talaka --- namba moja ni uchumi duni wa wanandoa. Likelihood ya ndoa kudumu penye pesa ni kubwa sana. Yaani, kwa mfano halisi, hakuna mtu mwenye anaamini Zari & Diamond wameachana. It is as though yuko anafanya business tu huko ila wangali mtu na mzazi mwenzie.
Kwamba jeff bozzes hakua nazo za kutosha ambazo zingeweza kufanya ndoa yake ikadumu?Nimependa ulivyojenga hoja mkuu..correlation ya uwepo wa pesa na kudumu kwa ndoa..kudos! [emoji4][emoji4][emoji4]
Ukiijua tabia njema utamjua nani mwenye tabia. Kwanza rejea kanuni niliyo kupa kisha mengine huendelea, kumjua mwanamke wa kuoa hakuhitaji peni na makaratasi ya kuandika report.Utaijuaje kua hii unayoiona ndio tabia njema ya huyo mtu na sio kwamba ni scripts inachezwa ili ayafikie malengo yake?
Hivi nani mwenye akili timamu anayeweza kuoa mwanamke ambaye hana tabia nzuri kwa kutegemea kuwa na ndoa yenye upendo na furaha?
Tabia njema katika kipindi cha uchumba mara nyingi inakua ni mask tu kuficha uhalisia wa mtu.
Nadhani hata wanawake wa humu wakisoma maoni yako watakua wanashangaa kuona bado zama hizi kuna wanaume wanaoamini tabia njema ya mwanamke ni yule anaye jistiri, kuswali nk.