Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,281
- 123,735
Na hakuna anayeigiza kwa kuonesha tabia yake ya asili, na akiigiza huwezi jua until umeingia naye kwenye ndoa baada ya kuishi naye kwa ukaribuMaana yake tabia njema inajulikana, ndiyo maana anae igiza anajulikana tu kwa kuiigiza kwake na kumjua ni sahali kabisa.
Pointi yangu ni kwamba mpaka unafikia hatua ya kupima inamaana hukubaliani na majibu ya wazazi wa binti.Sasa inaku cost vipi wakati jambo halikuwa na lilikuwa kwenye mchakato na suala la kupima ni sharti mzee ? Maana yake ilikuwa ni lazima tu ajue.
So kwa hoja yako kua info za upande wa ndugu wa mtoto ni info za kuaminika basi ukiambiwa kwamba binti yuko clean hutakiwi kwenda kupima
Kwenda kupima ni kuwa na mashaka na info zao, sasa huyo jamaa ambaye anakupenyezea taarifa za binti inamaana utaenda tena kupima kuangalia hata kama amekuambia she's negative?
Basi kama mfumo si dhaifu basi ungeutumia hata kwa wanawake kupata infoSasa mbona unajijibu mwenyewewe hapo mfumo si udhaifu bali wale walio tumwa ndiyo madhaifu.
Ni kweli kanuni hiyo ni ya kale na ndio maana ina weakness nyingi ukiitumia kwa wanawake wa kileo ni rahisi kuwa trapedLakini kwa udhaifu wao wananyanyuliwa na hiki sharti la kabla hujaoa lazima mpime. Ile kanuni huwezi kuidhoofisha mzee. Sababu ni ya kale na ni timilifu. Ndiyo maana sisi wengine tunaona hakuna jambo rahisi kama kumpata mwanamke wa kuoa sababu tunajua tukitaka kuoa kina nani tuwafate.