Mabinti ambao hamjaingia kwenye ndoa

Mabinti ambao hamjaingia kwenye ndoa

Kama mwanaume angezingatia factor ya upendo halisi kama alivyokuwa ameahidi na kumwonesha mwenziwe hadi akasema Yes I do, over 90% ya ndoa zinazovunjika zisingevurugika. Did you know that katika 8 out of 10 marriages, mwanaume ndiye wa kwanza kubadili gia za uhusiano ule murua!??? Na almost all problems zinazosababisha ndoa kuvunjika ni preventable kabisa!??? Na wengi sana baada ya talaka na kuachana huwa wanaujutia uamuzi wao, but wakiwa too late??? Did you know even before talaka kutolewa, kuna mmoja mwanandoa anasema BUT WE CAN IMPROVE THIS, mwingine anasema NO WAY!???
Jasmoni Tegga unaongea ukweli mtupu ila ka wine kameshanichukua🍹🍾 ngoja waje💥💣
 
Mzee hata katika kuporomoka kwa uchumi swala la ndoa linachangia tena kwa asilimia kubwa sana kuliko hata faida yake

Kuna jamaa alikua na biashara yake hakua na nyumba ye alipanga so alikua anamiliki kiwanja na piki piki alizo wapa vijana wawe wanamletea pesa kila siku. Alikua kwenye mchakato wa kuanza kujenga kupitia biashara yake

Baada ya muda akafikia maamuzi ya kuoa, baada ya kuoa muda ukapita jamaa akajenga akawa na kwake na hapo ndipo mke akaanza kumuoneshea tabia yake halisia

Jamaa akamtishia kumpa talaka kua waachane, mwanamke akasema sasa ukitaka ufilisike ebu jaribu huo ujinga.

Jamaa kudai talaka ikawa inamletea ugumu sana kwasababu inatakiwa wagawane mali zote pasu kwa pasu na jamaa hakua tayari kurudi maisha ya kuhaingaika tena

So jamaa akawa anaishi na mke ila hafurahii ndoa yake, na mke akajua udhaifu wa jamaa kua hayuko tayari mali zake zigawike

Lakini jamaa alichukua maamuzi magumu hivyo hivyo wakagawana maliz zingine ziliamriwa na mahakama kua ni miliki ya watoto

Matukio kama haya kwenye jamii ni mengi
You're simply proving my very point. Familia ikiwa stable, uchumi nao unakuwa stable --- both "micro-" & "macro-" economy.
 
Mzee hata katika kuporomoka kwa uchumi swala la ndoa linachangia tena kwa asilimia kubwa sana kuliko hata faida yake

Kuna jamaa alikua na biashara yake hakua na nyumba ye alipanga so alikua anamiliki kiwanja na piki piki alizo wapa vijana wawe wanamletea pesa kila siku. Alikua kwenye mchakato wa kuanza kujenga kupitia biashara yake

Baada ya muda akafikia maamuzi ya kuoa, baada ya kuoa muda ukapita jamaa akajenga akawa na kwake na hapo ndipo mke akaanza kumuoneshea tabia yake halisia

Jamaa akamtishia kumpa talaka kua waachane, mwanamke akasema sasa ukitaka ufilisike ebu jaribu huo ujinga.

Jamaa kudai talaka ikawa inamletea ugumu sana kwasababu inatakiwa wagawane mali zote pasu kwa pasu na jamaa hakua tayari kurudi maisha ya kuhaingaika tena

So jamaa akawa anaishi na mke ila hafurahii ndoa yake, na mke akajua udhaifu wa jamaa kua hayuko tayari mali zake zigawike

Lakini jamaa alichukua maamuzi magumu hivyo hivyo wakagawana maliz zingine ziliamriwa na mahakama kua ni miliki ya watoto

Matukio kama haya kwenye jamii ni mengi
Japo hukusikiliza upande wa pili, yaani kwa mke wa huyo jamaa yako ila yeye mwenyewe anaonekana jeuri sana kiasi kwamba imemcost maana hata kama alitaka waachane alizunguka mbali sana kwa kujitesa tuu
Sasa kama huyo ni mkewe wa ndoa, na wana watoto na mwanamke kaamua kuwa jeuri yeye angetumia busara za kiume tuu.
 
Sasa kama huna pesa endelea kuzitafuta. Mwanaume ndio kichwa kiongozi na mlinzi wa familia yake.
Kuwa mume ni jukumu kubwa sana, muombe pia Mungu akupe mke atayekusaidia kwa maombi na kukusaidia kupata amani ya moyo
Msitari kuanzia wa pili umeongea vema na sioni uhusika wa pesa hapo. Lakini maneno ya mstari w kwanza sijui ulikuwa unalenga nini sasa.
 
Ndiyo maana nasisitiza ya kuwa njia hii ni bora na itabaki kuwa bora, sababu hujaelewa ninacho kiandika. Suala la mwanamke kuchukia ndugu zako hii si tabia bali nimatokeo ambayo huja baadae na haya matokeo huwa na sababu.

Ndiyo maana nilikwambia hapo awali juu ya mambo ya msingi ya kuzingatia kumpata mke mzuri, lazima uwaulize wanao mjua. Hapa ndipo ilipo salama.

Hii njia huwezi kuitia dosari sababu imekamilika. Lakini katika tabia zipo za kuvumilika na zipo ambazo hazivumilika.
Bado nasisitiza kua udhaifu wa mbinu yako uko wazi sana. Mfano mzuri ni huo niliokupatia hapo juu

Kwa mbinu kama yako ili iweze fanya kazi kwa uhakika itakubidi uinvest muda wako na gharama zako kufanya investigation maeneo yote ambayo huyo binti alikua akiishi

Mfano kwa binti aliyekua anasoma shule tabia yake ya shuleni ni tofauti na ile ambayo huionesha akiwa nyumbani kwa wazazi (na hili najua unalielewa vyema)

So hapa kwa kanuni yako itakuhitaji utume mashushu wafanye upelelezi kila shule aliyosoma kuanzia primary hadi chuo. Au uende mwenyewe mazingira ya kule utafute marafiki zake uwaulizie ambao hao nao sina hakika kama watakua hawapendi rafiki yao aolewe so uhakika wa kuoata taarifa sahihi bado ni wakutilia mashaka

Kwa hiyo kwa mujibu wa kanuni yako kama ulikua unataka kuoa itakubidi utumia angalau miaka kadhaa ya kufanya udadisi kwa huyo mwanamke ujue tabia yake, na hapo usikute katikati ya investigation yako akaibuka na kitu kingine kipya
 
Japo hukusikiliza upande wa pili, yaani kwa mke wa huyo jamaa yako ila yeye mwenyewe anaonekana jeuri sana kiasi kwamba imemcost maana hata kama alitaka waachane alizunguka mbali sana kwa kujitesa tuu
Sasa kama huyo ni mkewe wa ndoa, na wana watoto na mwanamke kaamua kuwa jeuri yeye angetumia busara za kiume tuu.
Halafu mume kudai talaka dhidi ya mke ni dalili ya woga, kutojiami na ubinafsi uliokithiri. Hawa wengi ndiyo wale huko kabla walijifunziaga kwenye kubadili mahusiano kama mavazi, sasa tabia zako zilishakuwa sugu zinawaandama hadi ndoani.
 
Bado nasisitiza kua udhaifu wa mbinu yako uko wazi sana. Mfano mzuri ni huo niliokupatia hapo juu

Kwa mbinu kama yako ili iweze fanya kazi kwa uhakika itakubidi uinvest muda wako na gharama zako kufanya investigation maeneo yote ambayo huyo binti alikua akiishi

Mfano kwa binti aliyekua anasoma shule tabia yake ya shuleni ni tofauti na ile ambayo huionesha akiwa nyumbani kwa wazazi (na hili najua unalielewa vyema)

So hapa kwa kanuni yako itakuhitaji utume mashushu wafanye upelelezi kila shule aliyosoma kuanzia primary hadi chuo. Au uende mwenyewe mazingira ya kule utafute marafiki zake uwaulizie ambao hao nao sina hakika kama watakua hawapendi rafiki yao aolewe so uhakika wa kuoata taarifa sahihi bado ni wakutilia mashaka

Kwa hiyo kwa mujibu wa kanuni yako kama ulikua unataka kuoa itakubidi utumia angalau miaka kadhaa ya kufanya udadisi kwa huyo mwanamke ujue tabia yake, na hapo usikute katikati ya investigation yako akaibuka na kitu kingine kipya
Lazima utafiti vizuri maana ni uamuzi wa maisha; ukikwapua from kotekote vyovyote, matokeo ndiyo hayooooooo
 
Ndiyo maana nasisitiza ya kuwa njia hii ni bora na itabaki kuwa bora, sababu hujaelewa ninacho kiandika. Suala la mwanamke kuchukia ndugu zako hii si tabia bali nimatokeo ambayo huja baadae na haya matokeo huwa na sababu.

Ndiyo maana nilikwambia hapo awali juu ya mambo ya msingi ya kuzingatia kumpata mke mzuri, lazima uwaulize wanao mjua. Hapa ndipo ilipo salama.

Hii njia huwezi kuitia dosari sababu imekamilika. Lakini katika tabia zipo za kuvumilika na zipo ambazo hazivumilika.
Good point
 
Msitari kuanzia wa pili umeongea vema na sioni uhusika wa pesa hapo. Lakini maneno ya mstari w kwanza sijui ulikuwa unalenga nini sasa.
Nilikua namaanisha mwanaume anatakiwa kuwa huru kiuchumi ili aweze kufanya maamuzi kama kiongozi
 
Japo hukusikiliza upande wa pili, yaani kwa mke wa huyo jamaa yako ila yeye mwenyewe anaonekana jeuri sana kiasi kwamba imemcost maana hata kama alitaka waachane alizunguka mbali sana kwa kujitesa tuu
Sasa kama huyo ni mkewe wa ndoa, na wana watoto na mwanamke kaamua kuwa jeuri yeye angetumia busara za kiume tuu.
Ngoja nikuelekeze fresh

Mwanamke wa sasa hivi ni tofauti na yule mwanamke wa maiaka ya sabini ambaye alikua amefunzwa kuto paza sauti kwa mumewe bali kua mnyenyekevu na msikivu, hapa tunamuongelea mwanamke wa kizazi kipya (new generation) ambaye amepewa nafasi kubwa ya kusikilizwa mahakamani kuliko mwanaume.

Wanaume tulifanya kosa kuwapigania mpate haki sawa maana haki ya mwanume imepolwa yote now iko kwa mwanamke, kiasi cha wanaume kuwa na haja ya kudai tena haki yao kuirudisha upya

So mwanamke alikua na target yake kabla hajaolewa, alijua nini cha kufanya kumuaminisha jamaa kua ye ni mke mwema. Alishajua kua once jamaa akiingia mtegoni ni ngumu kutoka na akitoka ni amechoka
 
Takwimu zinaonesha wazi kati ya mambo 8 makuu yanayosababisha kukosa furaha ndoani, michepuko, mahusiano hafifu, ugomvi & talaka --- namba moja ni uchumi duni wa wanandoa. Likelihood ya ndoa kudumu penye pesa ni kubwa sana. Yaani, kwa mfano halisi, hakuna mtu mwenye anaamini Zari & Diamond wameachana. It is as though yuko anafanya business tu huko ila wangali mtu na mzazi mwenzie.

Tatizo sio uchumi bali tamaa tu. Mjini ndoa zinavunjika kuliko kijijini kwenye hali duni, unajua kwanini?

Kwasababu ya tamaa.

Ni rahisi kuchepuka na mke wa tajiri kuliko wa maskini, unajua kwanini?

Kwasababu ua tamaa.
 
Bado nasisitiza kua udhaifu wa mbinu yako uko wazi sana. Mfano mzuri ni huo niliokupatia hapo juu

Kwa mbinu kama yako ili iweze fanya kazi kwa uhakika itakubidi uinvest muda wako na gharama zako kufanya investigation maeneo yote ambayo huyo binti alikua akiishi

Mfano kwa binti aliyekua anasoma shule tabia yake ya shuleni ni tofauti na ile ambayo huionesha akiwa nyumbani kwa wazazi (na hili najua unalielewa vyema)

So hapa kwa kanuni yako itakuhitaji utume mashushu wafanye upelelezi kila shule aliyosoma kuanzia primary hadi chuo. Au uende mwenyewe mazingira ya kule utafute marafiki zake uwaulizie ambao hao nao sina hakika kama watakua hawapendi rafiki yao aolewe so uhakika wa kuoata taarifa sahihi bado ni wakutilia mashaka

Kwa hiyo kwa mujibu wa kanuni yako kama ulikua unataka kuoa itakubidi utumia angalau miaka kadhaa ya kufanya udadisi kwa huyo mwanamke ujue tabia yake, na hapo usikute katikati ya investigation yako akaibuka na kitu kingine kipya

Tofauti yangu na yako ni kuwa mimi naandika uhalisia wewe unaandika mtazamo.

Ngoja nikuzindue kwa jambo moja ili nikuonyeshe ya kuwa kumjua mwanamke unaweza kumjua hata chini ya dakika tano na ukamuoa (Hivi ndivyo huwa tunafanya sisi na wake zetu tunamshukuru Mola tuko mpaka muda huu) zaidi, kisha nikwambie ya kuwa kwa kawaida mwanamke huolewa kwa moja ya sifa nne, ila katika sifa hizo nne ni moja ambayo ndiyo msingi na haipo katika sifa hizo ambayo ni tabia njema, napa ndipo tunaizungumzia hii tabia njema.

Mathalani mimi nikitaka kuongeza mke mwingine situmii nguvu, na wasiliana au kuwatafuta wanaume wanao mjua, siyo kila mwanaume anaye mjua bali wake ambao wanasifika kwa sifa ya ukweli na uchamungu. Hatutumi mashushu sababu kinachotakiwa si utafiti wa jambo kubwa bali kupata majibu ya kuwa binti ana faa au la!
 
Naendelea...

Mwenye tabia njema hujulikana mzee na mwenye tabia mbaya hujulikana kadhalika.

Kwangu mimi mwanamke asiyefanya ibada huyu hafai kuolewa, mwanamke asiyejisitiri huyu hafai kuolewa, mwanamke mshirikina huyu hafai kuolewa, nje ya hapo mwanamke anafaa kuolewa, sababu tabia hizo nyingine ni za kuvumilika na mtu anaweza kujirekebisha sababu hakuna aliye zaliwa na tabia mbaya au nzuri.

Sababu sisi Wanaume ni wasimamizi wa Wanawake basi tabia nyingine kama uchoyo, gubu hivi ukimsimamia mwanamke ana badilika tena kwa urahisi, shida ni kuwa vijana wengi wa kiume hawawezi kuwasimamia wanawake.

Tatu mtu haukumiwi kwa yale yaliyopita katika tabia mbaya, kama alipata kutubu na kurejea huyu huweza kuwa mzuri wa tabia kuliko wengine.
 
Lazima utafiti vizuri maana ni uamuzi wa maisha; ukikwapua from kotekote vyovyote, matokeo ndiyo hayooooooo
Kwa muda gani unafikiri utakua umefikia hitimisho la kujua huyu ni mke mwema na hatonisumbua?

Hivi unajua kwasababu gani watu kipindi cha uchumba huishi vixuri bila mafalakano?

Ni kwasababu kipindi hicho mnakua hamna ukaribu ule wa ndani, haijalishi ume date naye kwa miaka mingapi. Kuna watu mpaka leo maisha ya ndoa yamedumu kwa muda mfupi kuliko kipimdi cha uchumba

Watu wana act no matter hata mkae miaka mingapi ya kuchunguzana, watu wanajua kua ni information gani ambazo ukizijua utaghairi kumuoa so they will keep you away from it and you will never reach it until umuoe.
 
Ngoja nikuelekeze fresh

Mwanamke wa sasa hivi ni tofauti na yule mwanamke wa maiaka ya sabini ambaye alikua amefunzwa kuto paza sauti kwa mumewe bali kua mnyenyekevu na msikivu, hapa tunamuongelea mwanamke wa kizazi kipya (new generation) ambaye amepewa nafasi kubwa ya kusikilizwa mahakamani kuliko mwanaume.

Wanaume tulifanya kosa kuwapigania mpate haki sawa maana haki ya mwanume imepolwa yote now iko kwa mwanamke, kiasi cha wanaume kuwa na haja ya kudai tena haki yao kuirudisha upya

So mwanamke alikua na target yake kabla hajaolewa, alijua nini cha kufanya kumuaminisha jamaa kua ye ni mke mwema. Alishajua kua once jamaa akiingia mtegoni ni ngumu kutoka na akitoka ni amechoka
Hao wote wana shida, mwanaume mbinafsi sana na mwanamke mbishi.
Jamaa angeweza kuiokoa ndoa yake tena na huyo mwanamke akamheshimu na kuacha kelele ila pride ilimzidi nguvu asipokua makini atakutana na kibaka sasa
 
Tofauti yangu na yako ni kuwa mimi naandika uhalisia wewe unaandika mtazamo.

Ngoja nikuzindue kwa jambo moja ili nikuonyeshe ya kuwa kumjua mwanamke unaweza kumjua hata chini ya dakika tano na ukamuoa (Hivi ndivyo huwa tunafanya sisi na wake zetu tunamshukuru Mola tuko mpaka muda huu) zaidi, kisha nikwambie ya kuwa kwa kawaida mwanamke huolewa kwa moja ya sifa nne, ila katika sifa hizo nne ni moja ambayo ndiyo msingi na haipo katika sifa hizo ambayo ni tabia njema, napa ndipo tunaizungumzia hii tabia njema.

Mathalani mimi nikitaka kuongeza mke mwingine situmii nguvu, na wasiliana au kuwatafuta wanaume wanao mjua, siyo kila mwanaume anaye mjua bali wake ambao wanasifika kwa sifa ya ukweli na uchamungu. Hatutumi mashushu sababu kinachotakiwa si utafiti wa jambo kubwa bali kupata majibu ya kuwa binti ana faa au la!
Ni kweli tabia njema ndio sifa bora ya mwanamke ambayo wengi hupenda wakutane nayo kwa wenza wao

Lakini hiyo tabia haijioneshi tu kama rangi yake ya ngozi inavyoonekana na watu wote wenye uwezo wa kuona

Hiyo tabia njema huwezi kuijua kwa dakika tano kama ambavyo wewe unatudanganya hapa. Kadhalika ukiona umeona tabia njema kwa muda mfupi huo inabidi ustuke mapema tena usifurahie hiyo hali ikiwezekana usijisumbue tena kumdadisi kiundani na hiyo ndio iwe sababu ya kumuacha mazima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom