Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,173
- 190,755
Hizi ndio akili ambazo wanawake wengi huzikosa. Yani maisha yakiwa magumu tu quick solution ni kuuza nyapu!Huko kwenye kuliwa mbali, kwanza kabisa sitakubali tutunzwe na binamu yako. Heri mimi na wewe tupambane kufa kupona, tukaishi popote kama watakusaidia msaada wakuite ukachukue sio Mimi na wewe tukalelewe
Kuna kufunga mkanda katika maisha. Ndio shida na raha zenyewe za ndoa zilipo.