Mabinti ambao hamjaingia kwenye ndoa

Mabinti ambao hamjaingia kwenye ndoa

Inawezakana , nahisi kama nimekuwa faraja kwake. Ila wakati mwingine ka roho hakajozea kuitwa baby , mala love yaani ..mala ile kufatana . Nilipanga nimpige tukio ila kila nikitamza namna alivyo jitoa nasikia roho yangu inananiambia unajitafutia laana kijana... kwa kuumuza mtu alie kupa moyo wake asilimia zote
Wewe si ulikua unaenda makanisani ili umpate! Sasa naona unataka unaitafuta laana ya madhabahu wewe😂😂😂😂
 
Ili uzungumzie au kushauri masuala ya ndoa lazima uwe kwenye ndoa..
Ili uthibitishe kua hii ni sumu au sio sumu lazima ulambe?

Basi ingekua ni hivyoeo hii wasingekua wanahubiri maisha baada ya kifo kwssababu ingewalazima wafe kwanza

Na padre asingekua anasuluhisha migogoro ya ndoa kwasababu hajaoa
 
Wewe si ulikua unaenda makanisani ili umpate! Sasa naona unataka unaitafuta laana ya madhabahu wewe😂😂😂😂
Na usema kweli mwanamke amenielewa na sio kwamba ametaka kitu kwangu, maana ana kila kitu chake. Angekuwa hana kitu ningehisi kuna kitu anataka kwangu ngoja niendelee kujizoesha mapenzi na kupendwa japo mambo mapya haya kwangu 😃😃
 
Na usema kweli mwanamke amenielewa na sio kwamba ametaka kitu kwangu, maana ana kila kitu chake. Angekuwa hana kitu ningehisi kuna kitu anataka kwangu ngoja niendelee kujizoesha mapenzi na kupendwa japo mambo mapya haya kwangu 😃😃
Nakuombea usiwe kwenye lile kundi ya wanaume wanaokinai wapenzi wao. Ndoa ifungwe💥😍😍
 
Tatizo vijana wengi wanadhani kwamba ndoa ni kitu tu kinakuja from no where, lakini hawajui kwamba ni jukumu la kila mmoja kuitengeneza ndoa yake iwe nzuri, yenye furaha na amani tele....
Sometimes tunapaswa kujitoa kwaajili ya wenza wetu ili tuipate amani na kudumisha upendo....
Siku hizi ili uwe na ndoa yenye furaha itakuhitaji utumie muda na nguvu nyingi kitu ambacho ni ngumu sana ku-maintain kulingana na circumstances ya kiutafutaji
 
Sisi huwa tuna waambia vijana ukitaka mke waulize wale wanaume wanao mzunguka huyo mwanamke na kwa mabinti wakitaka waume, basi wawaangalie wanaume wanao mzunguka mtu huyo.Kawaida kila jambo hurudishwa kwa watu wake.

Leo hii shida huanzia katika kutafuta mwenza na vile vipaumbele. Nakomea hapa, bila shaka nimeeleweka.
Watu wanaishi kwa ku fake na hata uwe na intelijensia ya mossad ila kwa mwanamke huwezi kupata info zote

Kitaa Watu walifanya investigation wakaridhia mpaka kutoa mahali baada ya pande zote mbili kuridhika na tafiti zao wakakubaliana waoane kumbe mtoto wa kike ana ngoma yakuzaliwa nayo na wazazi waliweka siri
 
Huwa unauliza kama ni bikra au una taste🤔🤔🤔🤔

Katika mchakato wa kuzengea zengea mbona utajua tuu.
Alafu kuna wasichana huwezi wadhania kabisa ni bikra, kama mke wangu kipenzi sikujua kabisa, alinisapraizi siku ile .
 
Mpaka umejua uzuri wa bikra tayari wewe mwenyewe sio bikra. Mungu hawezi kumzawadia kicheche kitu chema. Utapewa malaya wenzio tu.....

😁😁😁 Nimecheka ulivyosema kicheche, hili neno nililitafuta kwa muda mrefu.
Mimi nimeoa miaka saba iliyopita, jike bora kabis, bikra safi.

Vicheche sio hadhi yangu
 
Sasa kama huna pesa endelea kuzitafuta. Mwanaume ndio kichwa kiongozi na mlinzi wa familia yake.
Kuwa mume ni jukumu kubwa sana, muombe pia Mungu akupe mke atayekusaidia kwa maombi na kukusaidia kupata amani ya moyo
Mama d kama una binti mwenye miaka 20+ Nije tuongee mara moja maana imeandikwa kama mama alivyo ndivyo alivyo na binti yake.
 
Wanawake wanatakiwa kuwatii Wanaume na Wanaume wanatakiwa kuwapenda wake zao

Mwanamke Kumtii mume ni pamoja na kujiheshimu na kumheshimu, kutokufanya chochote hata kiwe chema kiasi gani bila ridhaa yake, kumtunza yeye na mali zake zote ikiwa ni pamoja na mji wenu, watoto wenu na mengine mengi....

Mwanaume Kumpenda mke ni kumchukua kwa wazazi wake, kumhudumia, kumlinda na kumhakikishia usalama wa maisha yake, yako, mali na watoto wenu.....

Huwezi kufanya hivyo ndoa itakua ngumu tuu sana
Mungu akubariki sana kwa ujumbe huu mzuri na ulio kamilika.
Naona umegusa mahitaji yote ya mke kwa Mume wake na pia mahitaji ya mume kwa mke wake...
Barikiwa sana mwali
 
Siku hizi ili uwe na ndoa yenye furaha itakuhitaji utumie muda na nguvu nyingi kitu ambacho ni ngumu sana ku-maintain kulingana na circumstances ya kiutafutaji
Sio kweli chief...
Just take your time and muombe Mungu atusaidie katika hilo
 
Mama d kama una binti mwenye miaka 20+ Nije tuongee mara moja maana imeandikwa kama mama alivyo ndivyo alivyo na binti yake.
Sina binti wa miaka20 Ollachuga Oc ila naamini Mungu anasikia haja yako na atakupa anayekufaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom