miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,409
- 11,053
Tatizo linakujaga mukishapata pesa tu.Wanaume makini tupo ila hatuna pesa, unawashauri vipi hapo?
Tatizo linakujaga mukishapata pesa tu.Wanaume makini tupo ila hatuna pesa, unawashauri vipi hapo?
Ni kweli kabisa, mke sahihi ukiwa na hela hapatikanagi kirahisi. Unakutana na machangu tu😂Wapo wanaume wenye mapesa mengi lakini ndoa bado zimekua ngumu. Pesa ni muhimu ili maisha yaende lakini kupata mke sahihi ni muhimu zaidi
Uchumi duni ni kipengele kwa kweli.Takwimu zinaonesha wazi kati ya mambo 8 makuu yanayosababisha kukosa furaha ndoani, michepuko, mahusiano hafifu, ugomvi & talaka --- namba moja ni uchumi duni wa wanandoa. Likelihood ya ndoa kudumu penye pesa ni kubwa sana. Yaani, kwa mfano halisi, hakuna mtu mwenye anaamini Zari & Diamond wameachana. It is as though yuko anafanya business tu huko ila wangali mtu na mzazi mwenzie.
Uchumi duni ni kipengele kwa kweli.Takwimu zinaonesha wazi kati ya mambo 8 makuu yanayosababisha kukosa furaha ndoani, michepuko, mahusiano hafifu, ugomvi & talaka --- namba moja ni uchumi duni wa wanandoa. Likelihood ya ndoa kudumu penye pesa ni kubwa sana. Yaani, kwa mfano halisi, hakuna mtu mwenye anaamini Zari & Diamond wameachana. It is as though yuko anafanya business tu huko ila wangali mtu na mzazi mwenzie.
Kukosa hela kunaleta true love sanaNi kwel mkuu,mwanaume ambae hana pesa huwa na mapenz ya kwel na humhudumia mke wake ipasavyo ktandan kwa kumpga shipa la kimkakati.....najsemea Mimi wakati sina hela
Kijana huwa mgumu wa kuelewa na unaegemea kile ambacho sijakiandika. Nimekwambia huwa tunawauliza wanaume wanao mjua, lakini unasisitiza juu ya marafiki alio kuwa nao tena wa kike sisi huko huwa hatujishughulishi nao.Habari kutoka kwa wanaomjua nimekuambia sio za kuaminika. Lets say kwamba ana marafiki wa tangu utotoni walio shibana, hivi unafikiri ukiwafata hawa watakua tayari kumsaliti rafiki yao kwa kuanika maovu yake? Hapana lazima watakupa habari ambazo wewe unazitaka zitakazo kufurahisha ili umuone mwema
Tabia njema huwakilishwa na nini kama sio vitendo na muenendo wa mtu?Ukiijua tabia njema utamjua nani mwenye tabia. Kwanza rejea kanuni niliyo kupa kisha mengine huendelea, kumjua mwanamke wa kuoa hakuhitaji peni na makaratasi ya kuandika report.
Bado najiuliza kwanini huelewi ninachokiandika lakini napata majibu ya kuwa hukitafakari hiki ninacho kiandika. Huko juu nilikwambia ya kuwa kwa kawaida mwanamke huolewa kwa moja ya sifa nne ila tabia njema ndiyo msingi mama.
Nipokwambia ya kuwa mwanamke asiyefanya ibada hafai kuolewa, asiye vaa vizuri hafai kuolewa,ambaye ni mshirikina kadhalika. Hivi ni vigezo vya awali ambavyo huonekana tu kwa urahisi, kisha mwenye vigezo hivi hivi huwekwa katika mzani ule ule wa kuuliza tabia zake kwa wale wanao mjua. Ile kanuni haikwepeki.
Kukosa hela kunaleta true love sana
Sasa kama unalijua hili mbona una kanusha ya kuwa tabia njema si kama rangi inavyo onekana.Tabia njema huwakilishwa na nini kama sio vitendo na muenendo wa mtu?
Mfano wako niliudhoofisha kwa kutokuwa na weledi juu ya hao wahusika, sababu suala la kupima siku hizi ni sharti, na si katika jambo la kuwashughulisha watu.Kanuni yako ya kuuliza tabia ya mtu kwa watu wanaomjua bado siyo ya kuaminika kutokana na udhaifu wake, na mfano wa hili nimekupatia hapo juu wa mtu aliyetaka kuozeshwa binti muathirika. You see how it sounds?
Hili kwetu kulijua mbona rahisi sana na hao tunawajua hata kabla ya ndoa tena ndani ya muda mfupi. Huwa tunarejea katika kanuni hiyo hiyo. Mfano wiki iliyopita tulimjua binti mmoja alikuwa anaigiza mtu wa dini, anavaa nikab na mfano wa hayo, tena ndani ya wiki mbili tu. Kwahiyo wanao feli kuwajua waigizaji hao ni madhaifu na hawaifanyii kazi vizuri hii kanuni.Mwanamke anaweza akawa na sifa zote hizo ikiwamo kufanya ibada na kujisitiri aka exceed hadi limit kila mwezi akawa anafunga lakini kwa target moja tu ya kutaka kuolewa na wale waoaji wenye kuzingatia factor kama hizo
Hao wanaume wanaomjua unahakika gani na taarifa zao watazokupatia kama ni za kweli?Kijana huwa mgumu wa kuelewa na unaegemea kile ambacho sijakiandika. Nimekwambia huwa tunawauliza wanaume wanao mjua, lakini unasisitiza juu ya marafiki alio kuwa nao tena wa kike sisi huko huwa hatujishughulishi nao.
Labda nikupe mfano, mimi nilipokuwa nataka kuongeza mke wa pili, swahiba wangu kuna siku nilienda kumtembelea nikamuona mdogo wake, nikamuuliza kaka naona tunda limeiva tayari kwa kuliwa,vipi linafaa kuliwa ? Kisha nikamuuliza embu nipe habari kuhus mdogo wako. Lakini hata huyu kaka si kaka tu bali, ni mtu mkweli mtu wa ibada akikwambia jambo ujue la kweli na akikwambia hili ujue hili, kwahiyo akaniambia mazuri ya mdogo wake na akaniambia mabaya yake.
Lakini jambo hili hali halihitaji kuwafata marafiki zake, sababu si kila wanao mjua basi hao ni marafiki zake. Haya mambo mepesi sana, shida yako unayatazama kwa uelewa wako ambao bado ni finyu kuyang'amua mambo haya. Nakukumbusha tu hapa tunazungumzia mambo ya tabia njema.
Kama shingapi?Sasa inabidi tuwaombee kwa Mungu wapate za kututosha tuu wasiwe na ziada
Hahahah hapo lazma undugu uingie doa.Ila huko kukosa hela endelevu
Wewe Extrovert Leo uwe na pisikali kabisa na watoto wazuri halafu ishindwe kuhudumia familia na badala yake umwombe binamu yako awahifadhi na kuwapa huduma zote.... halafu binamu arushe ndoano unafikiri nini kitatokea
na binamu siku mme akikwama? I think it has something to do with humanity?😁😁😁😁
So unamtunuku puss¥ kurudisha fadhila kwa humanity aliyowafanyia??We utakubali kuliwa n
na binamu siku mme akikwama? I think it has something to do with humanity?
Huko kwenye kuliwa mbali, kwanza kabisa sitakubali tutunzwe na binamu yako. Heri mimi na wewe tupambane kufa kupona, tukaishi popote kama watakusaidia msaada wakuite ukachukue sio Mimi na wewe tukaleleweWe utakubali kuliwa n
na binamu siku mme akikwama? I think it has something to do with humanity?
Ni kwasababu watu wana fake.Sasa kama unalijua hili mbona una kanusha ya kuwa tabia njema si kama rangi inavyo onekana.
Hilo nalijua na ndio njia aliyoitumia jamaa ku finalize lakini hukuelewa point yanguMfano wako niliudhoofisha kwa kutokuwa na weledi juu ya hao wahusika, sababu suala la kupima siku hizi ni sharti, na si katika jambo la kuwashughulisha watu.
Sio rahisi kama unavyosema, labda hakua serious na kuolewa alikua mguu nje mguu ndaniHili kwetu kulijua mbona rahisi sana na hao tunawajua hata kabla ya ndoa tena ndani ya muda mfupi. Huwa tunarejea katika kanuni hiyo hiyo. Mfano wiki iliyopita tulimjua binti mmoja alikuwa anaigiza mtu wa dini, anavaa nikab na mfano wa hayo, tena ndani ya wiki mbili tu. Kwahiyo wanao feli kuwajua waigizaji hao ni madhaifu na hawaifanyii kazi vizuri hii kanuni.
Naona kuna tatizo kubwa hapo. Kwani ukimnunulia mtu kiroba cha mchele na unga haitoshi kwa shukurani? Why nyie wanawake mnaonaga K ndio kitu cha maana sana kumpa mtu?So unamtunuku puss¥ kurudisha fadhila kwa humanity aliyowafanyia??