Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

Hahaha! Unajua maana ya private jet? Fanya upembuzi vizuri kisha rejea na taarifa zenye mashiko. Gwajima hana p.j ana helicopter. Diamond hukodishiwa akiwa nje lakini hapa hapa na waandaji wa show anapoitwa. Mo ni philanthropist despite kuwa no. 1 tajiri mwenye 1.72 bil usd hana ndege na huboard ndege na abiria wengine japo yeye hutumia luxury class.
 
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
Ebu Tutolee Pumba Zako, wewe zinakusaidia Nini sasa mfano.
 
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;

tupia ka picha mkuu
 
Mtoa thread kuna kitu analenga...kajua asilimia kubwa kuna jina litazungumziwa na kujadiliwa sana...!! Huyu jamaa ni mshabiki wa jamaa mmoja kwene hiyo list
 
Watu wenye akili ndogo siku zote huongelea vya wenzao tu. (Simple minded)
 
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
UlongUlongo, no private jet, labda mh Shirima wa precision air, waliobaki Wana vibaji vya kuendea ferry
 
Back
Top Bottom