Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
Nenda Arusha na Moshi utawakuta kibao tu ndugu
 
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;

Baba Askofu Gwajima, hizi ni pesa ametowa wapi? Sadaka za watu? Huyu ni wakutumbuliwa. Huu ni wizi wa kisasa kutumia Biblia kuwaibia wasioelewa.
 
Title Aircraft Type Price
Bombardier Challenger 605 Jet›Bombardier›CHALLENGER 605 $14,500,000
Dassault Falcon 7X Jet›Dassault›FALCON 7X $38,500,000
Kama bei ndio hizo Diamond Domo hana na hawezi kumiliki Jet,biashara yenyewe miito ya kwenye simu na shoo zenyewe za kubangaiza.Hata kama anafanya biashara sio kweli
 
Pia tusimsahau Bilionea anayechipukia nchini MC PwiliPwili, comedy show zake zinajaza balaa pia U-MC unamtoa sana.
 
Nashauri mleta mada uweke uchambuzi wa bei ya kila ndege ili wachangiaji wawe huru kwani sisi watanzania tumetawaliwa na mawazo ya kimasikini ambayo hupelekea kushangaa kila apataye fedha na kuanza kumwita majina ya malimbali kama freemason,fisadi nk. Hii inatokana na jamii kutofundishwa ukweli kuhusu uhalisia wa nini kinatakiwa katika maisha na badala yake kuwarundikia mizigo isiyowafaa Mungu na shetani.
 
Back
Top Bottom