eti!!Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
Kuna this guy Mwenye lake oil na gulf cementTafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
Acha ujinga wwTafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
Ha ha haaaLizabon mbona hayupo
eti!!
nasibu ana jet????
Acha ujinga ww
Diamond apate wp helicopter?
Hehehehehhe mkuu dah acha nicheke tu
[emoji1] [emoji1] nakakumbukaprivate jet kuna wale bilionea wa arusha mmoja alinunua kandege ka kumwagilia mazao kako right off akatangaza ana chopper,kuna siku kindege kikambwaga porini huko
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]I don't F with you
Kweli kabsa maana angekuwa na jet tungejuwa tu,kama kila akinunua kitanda kipya anapost tukione je akinunua jet mbona dunia nzima ingejuwaDiamond Platinumz hana private Jet. Uongo mtupu.