Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

We unaacha watu wenye jet/chopper unaweka watu wanaomiliki magari ambayo thamani yake haifiki hata billion moja kama Diamond, navyojua Backhresa na Mo pamoja na utajiri wao hawana ndege wala chopper,kwa Dar Gwajima ana Chopper naYusuf Manji ana private jet.Hiyo private jet ya Yusuf Manji 'Citation 650'.

bfe4c2edc3cdf1dda244a03dde21440e.jpg

24bf3e2a90d0b791d3ff8704034bfea8.jpg
 
kwanza inaoneka hata hujui sifa za mtu kuitwa billionaire, labda tuu nikufahamishe Tz ina mabilionea wawili tuu ambao ni MO na RA basi
 
kwanza inaoneka hata hujui sifa za mtu kuitwa billionaire, labda tuu nikufahamishe Tz ina mabilionea wawili tuu ambao ni MO na RA basi
Yah! Na sijui kama alikuwa anaelewa anachokiandika
 
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
hii orodha ni feki maana hata huyo namba 1 nilimuona akihojiwa akielezea jinsi ambavyo sio muhimu kwake kumiliki ndege binafsi
 
kwanza inaoneka hata hujui sifa za mtu kuitwa billionaire, labda tuu nikufahamishe Tz ina mabilionea wawili tuu ambao ni MO na RA basi
Yah! Na sijui kama alikuwa anaelewa anachokiandika
 
Nlichogundua mwandishi kichwa cha habari kaandika " wenye private jets", kwenye contents kaandika "private jets/chopper."
Angalia majibu na comments za baadhi za wana jf. Mimi naona lipo tatizo la baadhi yetu kutosoma kilichoandikwa bali kujibu headings. Nahisi upo uvivu wa kusoma. Hili ni tatizo kubwa.
Huu ni mfano mdogo tu. We need to change.
 
Private jet unaijua?labda useme private foka.au unafikiri kila ndege ni jet?
 
wew jamaa muongo sana .. kwenye list yako aliyekua na chopper ni labda askofu gwajima .. na nakuongezea mwingine billionea mwenye chopper ni mkurugenzi wa kampuni ya lake oil .. ally edha
 
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
Unadhalilisha fani za watu.
Ndege si Noah
 
Don't take it serious humu watoa mada 80% ni kufurahisha nafsi siku ziende. So ukijidai serious unachukua na notes itakula kwako.
 
Baba Askofu Gwajima, hizi ni pesa ametowa wapi? Sadaka za watu? Huyu ni wakutumbuliwa. Huu ni wizi wa kisasa kutumia Biblia kuwaibia wasioelewa.
Fafanua huo wizi kwa kutumia biblia ! Utueleze kwa vifungu hivyo mchungaji anaibaje sadaka.
 
Ina maana siku hizi Diamond ni bilionea..?? Maskini Tanzania yangu......
 
Title Aircraft Type Price
Bombardier Challenger 605 Jet›Bombardier›CHALLENGER 605 $14,500,000
Dassault Falcon 7X Jet›Dassault›FALCON 7X $38,500,000
Falcon 7X....ndege mpya kabisa na latest Anatumia Rais wa Namibia..
 
Back
Top Bottom