Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

We naye Wa ajabu sana ulishasikia wap professor aliyeajiriwa na chuo anaitwa bilionea?......

Labda wale wanaogundua baadhi ya vitu nao ni wale waliosomea madawa na technology ........

Lakini si hawa waliosoma theology, economic, cycology.......
 
We unaacha watu wenye jet/chopper unaweka watu wanaomiliki magari ambayo thamani yake haifiki hata billion moja kama Diamond, navyojua Backhresa na Mo pamoja na utajiri wao hawana ndege wala chopper,kwa Dar Gwajima ana Chopper naYusuf Manji ana private jet.Hiyo private jet ya Yusuf Manji 'Citation 650'.
 

Attachments

  • 1480259193478.jpg
    1480259193478.jpg
    27.9 KB · Views: 148
Mkuu mbona umeshangaa Diamond anamiliki $ 4mil sasa sijui ndio katumia mkopo au kuna mtu anampa ujiko tu.
Said Salim Bakhresa Net Worth: $575 Million. The 65-year-old self-made millionaire is a Tanzanian.
Mohammed Dewji is the CEO of METL, Net Worth: 1.1 billion USD.
Tanzanian heavy-hitter Diamond Platnumz Net Worth: USD4 million
 
Hamna yoyote kati ya hao uliowataja , ndesa na gwajima wana helicopter tena za kizamani, angalau ungesema rostam ambaye ana ndege imepaki tu.
 
Mkuu mbona umeshangaa Diamond anamiliki $ 4mil sasa sijui ndio katumia mkopo au kuna mtu anampa ujiko tu.
Said Salim Bakhresa Net Worth: $575 Million. The 65-year-old self-made millionaire is a Tanzanian.
Mohammed Dewji is the CEO of METL, Net Worth: 1.1 billion USD.
Tanzanian heavy-hitter Diamond Platnumz Net Worth: USD4 million
Hujakosea mkuu, kwa bei hiyo Bakhresa au Dewji wanaweza mudu!
Hao wengine kama zipo za bei che zaidi wanaweza kuwa nazo tu..
Hiyo midude anahitaji gharama kubwa kuihudumia...
Labda chopper...
 
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;


Acha Ujinga

Marekani kuwa na ndege ni jambo kubwa sana. Kumiliki gari zuri lililoko paid off yenyewe shida unaongelea ndege. Huyo Dr na Prof ni walimu tu wa chuo kikuu kule usiwasingizie bure. Diamond Vogue yenyewe hana
 
Back
Top Bottom