Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
kiwango chako cha upumbavu kiko juu sana. unajua jet wewe unabwabwaja?
 
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
13346943_10154315559944446_1302330120714298767_n.jpg

13307284_10154315559494446_4460884423769982470_n.jpg

hiyo hapo ya YUSUF MANJI
 
Mo Dewji nilimsikia akihojiwa K24 Kenya akaulizwa wenzako mabilionea wana ndege binafsi wewe inakuaje hauna, akajibu safari moja ya kwenda SA kwa private jet ni zaidi ya 80 million shillings while akichukua commercial jet business class haizidi 20 million shillings, kwa hiyo kwake private jet ni hasara
 
Kayla list yako hakuna hata moja mwenye Jet! Wote wamalizie
 
Aisee ile jet aliyokuwa anapaa nayo "MAMVI" wakati ule wakutafuta "wadhamini" si yake kweli. Pole mzee wetu ndo mambo yalivyo.
 
Diamond angekuwa na private jet tungejua tu...nahisi angezunguka vituo vyote vya redio kututangazia kuwa amenunua private jet
 
Ndio tatizo letu weusi, tunatumia muda mwingi na nguvu kwenye vitu visivyo na tija. - Familia wanawapigia kelele wanandoa wapya kwa kutokuzaa watoto, mzee anampigia kelele mtoto wa kiume kwa kutokuoa, na wewe watumia bundle zako kuanzisha thread ya nani anamiliki ndege. Si wafanana tu, na yule anayeangalia jirani kanunua furniture gani au kala nini?
 
Back
Top Bottom