Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

Mabilionea wenye Private Jets Tanzania

Jamaa amekua KIMYA SANA THIS SEASON
kabanwa na mjomba magu. Hakuna dili zile za kusimamia mambo sijui ya umeme kesi Ulaya sijui nini, anapiga mihuri tu buku-buku "Nguvu ya buku"
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;

Umemsahau anayo DREAMLINER 787 na Bombadier 2
 
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
Mimi pia ndo namalizana na TRA sasa,ili mdude uingie bongo
Screenshot_20170503-090251.png
 
Mabilionea wanaongezeka kwa kasi ya ajabu

Kwasababu shamba la bibi Rais Kikwete aliliacha wazi kwa aliokuwa akiwapenda na wakachota kweli Kweli. Ubaya wa Mali iliyopatikana kwa urahisi hutoweka kwa urahisi. Yetu macho.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
If i agree with you we will both be wrong
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Nimrod mkono ana ndege ndogo ya kawaida sio jet! wala chopa. Maana nilishaikwea!! hehehe
 
Tafadhali tufahamishane Matajiri wenye Private Jet/Chopper nchini Tanzania ili kuweka rekodi sawa, mpaka sasa nataarifiwa wapo saba tu nao ni;
1. Mo Dewji
2. Said Bakhressa
3. Diamond Platinumz
4. Prof. Rwegoshora, PhD - huyu yupo Harvard University - USA
5. Dr. Rweikiza, PhD (Oxford University, UK)
6. Mhe. Ndesamburo - Former MP, Moshi Urban
7. Baba Askofu Gwajima.
Mwenye list zaidi ya hii tafadhali tufahamishane;
SHAME N U
TAFUTA MAISHA YAKO ACHANA NA MAISHA YA WENZIO WASIOWAZA KUFIKA HUKOKIJIJINI ULIPO
 
Kuna mwl mmoja anafundisha shule ya kata ana mapene kibao,anamiliki jet ila hajioneshi na wala hataki kujulikana mwl mwenywe yuko kigamboni
 
Back
Top Bottom