Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Mabilionea wa Mwanza respect and silence

yule jamaa anahela tofauti na umri wake, Mwanza anamiliki mtaa

Jamaa kwa uongo umetisha, Zaid ya ile vx v8 copy ya kichina iliyoandikwa KING M taja assets zake nyingine hapa, usiniambie helkopta tafadhali. Soon mtawataja mpk wakina mambo ya chinga sasa
 
Baraka Ni tajiri sana tena sana, anamiliki gorofa nying tu mjin Mwanza, pia ana nyumba nying sana zaid ya 30 gorofa moja moja zaid ya 50 bwiru, pia ndo mmliki wa plant nying za migod Tanzania ndo mwanzilishi wa system ya marudio Mwanza, pia ndo mmliki wa busolwa gold mine, anachimba kama GGM kwa sasa amenunua mtambo wa kusaga mawe ya dhahabu wenye thamani ya zaid ya 35bil, hana mkopo bank, anamagari ya kutembelea ya gharama kubwa, ipo hammer, BMW x6 &5, infinite, v8 zaid ya Tatu, kluger new model, jeep, volkswagen, Nissan fuga, Markx, pia alinunua fortuner 10 kwa ajiri ya wafanyakazi wake wa mgodin, anakadiliwa Kuwa na utajir wa 700bill, ila hana mbwembwe kama matajir wa arusha, mkitaka evidence ya vitu nilivyotaja semen nitawarushia

Hahaha daah Mkuu mark x, Nissan fuga, kluger new model, sijui x5 nazo unahesabu ni utajiri, safari ya kwenda mbele bado tunayo ndefu Sana aisee
 
Hahaha daah Mkuu mark x, Nissan fuga, kluger new model, sijui x5 nazo unahesabu ni utajiri, safari ya kwenda mbele bado tunayo ndefu Sana aisee
Jana nikawa naongea na ndugu yangu akaniambia huyo jamaa hana investment inayoeleweka, kama angalau ghorofa za kueleweka...tunaomba ushahidi wa investment zake...b700 anaweza kuwa anamkaribia bakhresa mkuu
 
Back
Top Bottom