Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Unajua saman ya chumba kimoja cha duka ndan ya mwanza hoteli.?
Vya ndan ni m.10 per year na nje ni m.15 bado kumbi za sherehe , casino,migahawa, hotel na ofis mbalmbali .
Em tasmin mwenyewe afu linganisha na hicho kijimeli root moja kinasafir kwa m. 6 ujatoa mafuta,ushuru na posho za wafanyakazi
Jina lake kamili ni Kitano Chacha na hamiliki kijimeli ni meli. Ana meli kubwa za nguvu tisa na kuna moja inajengwa kwa ajili ya ziwa Tanganyika ya thamani ya Tsh bilioni 5.78.

Meli zinazofanya kazi ni Mv Nyakibalya, Mv Chacha, Mv Munanka, Mv Mugendi, Mv Wankyo, Mv Matara, Mv Nyangi, Mv Kirumba na Mv Arez.

Baadhi ya meli zake zinafanya kazi katika nchi za Uganda na Kenya na si tu kwamba ndiye mwenye meli nyingi katika jiji la Mwanza ila katika Tanzania nzima.

Pia anamiliki kiwanja kikubwa mtaa mzima kati Pamba na Rwegasira ambacho NSSF walikitaka kwa 5b akawatolea nje.

Ni mlipaji mzuri wa kodi zote za serikali, anacho cheti cha mlipa kodi bora wa wamiliki wa vyombo vya majini nchini.
 
Nasema mm geita inamatajiri wakubwa wasiojua wapi wawekeze noti zao.pia geita tycoon wanapesa chafu kuliko hao wa mwanza japo geita haina mfanano kama kunamatajiri pale.nanaojua nachokizungumza wameelewa
 
Jina lake kamili ni Kitano Chacha na hamiliki kijimeli ni meli. Ana meli kubwa za nguvu tisa na kuna moja inajengwa kwa ajili ya ziwa Tanganyika ya thamani ya Tsh bilioni 5.78.

Meli zinazofanya kazi ni Mv Nyakibalya, Mv Chacha, Mv Munanka, Mv Mugendi, Mv Wankyo, Mv Matara, Mv Nyangi, Mv Kirumba na Mv Arez.

Baadhi ya meli zake zinafanya kazi katika nchi za Uganda na Kenya na si tu kwamba ndiye mwenye meli nyingi katika jiji la Mwanza ila katika Tanzania nzima.

Pia anamiliki kiwanja kikubwa mtaa mzima kati Pamba na Rwegasira ambacho NSSF walikitaka kwa 5b akawatolea nje.

Ni mlipaji mzuri wa kodi zote za serikali, anacho cheti cha mlipa kodi bora wa wamiliki wa vyombo vya majini nchini.
Na wewe unamiliki ni mkuu? Au Tecno yako tu?
 
Soon Baraka atatokea on Forbes Magazine ndo watu wataelewa...this man is RICH. Mgondi Wa Buswola is no joke. Forbes Magazine soon watamtoa tu.
 
MANENGERO BADO YUPO?

SAMWEL NYALLA

KUNA MMOJA MIE SIMTAJI ILA NI NOMA JAMAA MAFIA SANA KULE ZIWA VICTORIA ANA ENEO LAKE LA UVUVI HAKUNA MTU MWINGINE KUVUA OLE WAKE AKUKUTE SASA HUKO NDIO ILE STORY YA KUKATWA KAOSHI, KAPTURA ILIANZIAA HUKO

LEMA WA CAPRIPOINT JE BADO YUPO? ANA MTOTO WAKE MZURI SANA ANAITWA NANCY

VICKFISH
Nancy aliyeolewa mwaka jana?
Si mwanae
 
Daaah wabongo bhana hivi mnajua billionea anakuwa na vigezo gani? Kwa hapa tz watu wana pesa za kawaida tu hata sio za kutisha sana nashangaa watu wanamwongelea baraka ni bilionea wa mwanza daah.....
 
Ila kiboko ya wote hapo Mwanza yupo jamaa mmoja Anaitwa MALUGU.....Huyo kazidi ni Tajiri sana anaheshimika sana....
 
Back
Top Bottom