Mabilionea wa Mwanza respect and silence

Baraka Ni tajiri sana tena sana, anamiliki gorofa nying tu mjin Mwanza, pia ana nyumba nying sana zaid ya 30 gorofa moja moja zaid ya 50 bwiru, pia ndo mmliki wa plant nying za migod Tanzania ndo mwanzilishi wa system ya marudio Mwanza, pia ndo mmliki wa busolwa gold mine, anachimba kama GGM kwa sasa amenunua mtambo wa kusaga mawe ya dhahabu wenye thamani ya zaid ya 35bil, hana mkopo bank, anamagari ya kutembelea ya gharama kubwa, ipo hammer, BMW x6 &5, infinite, v8 zaid ya Tatu, kluger new model, jeep, volkswagen, Nissan fuga, Markx, pia alinunua fortuner 10 kwa ajiri ya wafanyakazi wake wa mgodin, anakadiliwa Kuwa na utajir wa 700bill, ila hana mbwembwe kama matajir wa arusha, mkitaka evidence ya vitu nilivyotaja semen nitawarushia
 
1. Diallo
2. Mansool (Moil)
3. Gachuma
4. Gitana
5. Vrajralis
6. Songolo
7. Said Lugumi
8. Lema Enterprise
9. Zuberi

And the thread be closed
 
Baraka Ni tajiri sana tena sana, anamiliki gorofa nying tu mjin Mwanza, pia ana nyumba nying sana zaid ya 30 gorofa moja moja zaid ya 50 bwiru, pia ndo mmliki wa plant nying za migod Tanzania ndo mwanzilishi wa system ya marudio Mwanza, pia ndo mmliki wa busolwa gold mine, anachimba kama GGM kwa sasa amenunua mtambo wa kusaga mawe ya dhahabu wenye thamani ya zaid ya 35bil, hana mkopo bank, anamagari ya kutembelea ya gharama kubwa, ipo hammer, BMW x6 &5, infinite, v8 zaid ya Tatu, kluger new model, jeep, volkswagen, Nissan fuga, Markx, pia alinunua fortuner 10 kwa ajiri ya wafanyakazi wake wa mgodin, anakadiliwa Kuwa na utajir wa 700bill, ila hana mbwembwe kama matajir wa arusha, mkitaka evidence ya vitu nilivyotaja semen nitawarushia
700bn ndio mtaji wa bakhresa .....muwe mnaandika mambo ya ukweli sio kusema kitu ambacho hamkijui....hata kwenye top 10 ya matajiri wa tz hayupo sasa hiyo 700bn ni hela ya zimbabwe..mengi na kufanya biashara n kumiliki viwanda zaidi ya miaka 25 ndio kafikisha utajiri wa 500bn.
 
Ni kweli. Binafsi na team yangu tuliwahi kuwaletea strategic proposal nzuri to cater for innovation area wakawa wahuni tu. Nami nakiona kifo chao ki karibu.
Tatizo waliacha kufanya kazi wakaanza kuwa vibaraka wa CCM na wakasahau kuwa wadau wao wengi ni wakina nani!
 
700bn ndio mtaji wa bakhresa .....muwe mnaandika mambo ya ukweli sio kusema kitu ambacho hamkijui....hata kwenye top 10 ya matajiri wa tz hayupo sasa hiyo 700bn ni hela ya zimbabwe..mengi na kufanya biashara n kumiliki viwanda zaidi ya miaka 25 ndio kafikisha utajiri wa 500bn.
We una tatizo, ivi unajua utajir wa mengi, anautajiri wa dollars mill 700, bakresa ana utajir wa 1.6trilion EB fatilia vzr
 
Rostam aziz ndio no1....1.2tr,moel anafuatia akiwa na 900bn,bakhresa 800bn,mengi 600bn.....wewe itakua umepata hiyo hesabu kwenye gazeti la msanii africa....hiyo hesabu ni toka gazeti la forbes
 
Tatizo lako unabishi sana, unajua tajiri namba moja Ni nan tz, anaitwa mohamed dweji ana utajir wa 1.1bil dollar zaid ya trillion mbil, acha kukariri aise pia usipanik, wa pili ndo rostam
 
Baraka Ni tajiri sana tena sana, anamiliki gorofa nying tu mjin Mwanza, pia ana nyumba nying sana zaid ya 30 gorofa moja moja zaid ya 50 bwiru, pia ndo mmliki wa plant nying za migod Tanzania ndo mwanzilishi wa system ya marudio Mwanza, pia ndo mmliki wa busolwa gold mine, anachimba kama GGM kwa sasa amenunua mtambo wa kusaga mawe ya dhahabu wenye thamani ya zaid ya 35bil, hana mkopo bank, anamagari ya kutembelea ya gharama kubwa, ipo hammer, BMW x6 &5, infinite, v8 zaid ya Tatu, kluger new model, jeep, volkswagen, Nissan fuga, Markx, pia alinunua fortuner 10 kwa ajiri ya wafanyakazi wake wa mgodin, anakadiliwa Kuwa na utajir wa 700bill, ila hana mbwembwe kama matajir wa arusha, mkitaka evidence ya vitu nilivyotaja semen nitawarushia
Billion 700 unaijua????
 
700bn ndio mtaji wa bakhresa .....muwe mnaandika mambo ya ukweli sio kusema kitu ambacho hamkijui....hata kwenye top 10 ya matajiri wa tz hayupo sasa hiyo 700bn ni hela ya zimbabwe..mengi na kufanya biashara n kumiliki viwanda zaidi ya miaka 25 ndio kafikisha utajiri wa 500bn.
Uyo jamaaa ni muhongooooo hata kasuku awez kukop maneno yake.
 
Back
Top Bottom