Mabere Marando ni nani?

Mabere Marando ni nani?

tunahitaji tume huru ya uchaguzi tu,mwenye kura nyingi ndiye mshindi na sio mfumo wa sasa ambao unaibeba CCM.kwa hiyo hizo kauli za kina pasco naona maneno tu...umma ndio wenye nguvu na sio mashushushu wa TISS
 
pasco,
Naamini 2015 itakuwa vigumu kupitisha kura za system. Chadema wamejifunza mengi baada ya uchaguzi wa 2010. Tutashupalia matokeo yatangazwe mara moja kwenye kila kituo na waandishi wa habari wasaidie. Itakuwa vigumu kwa NEC kupika matokeo isipokuwa kama wanataka nchi isikalike.
Nchi itatawalika tuu, kwa ajili ya mandalizi ya 2015, wameongeza water canons kwa kila mkoa, tear gas, rubber bullets na vijana wataajiriwa kwa wingi sana mwakani, hivyo kuwaadabisha wote watakaotaka kutishia amani!.

Hili la matokeo yote kuhesabiwa kituoni na matokeo kubandikwa, haliwezi kukubalika, kwa sababu, Watanzania ni watu watulivu sana, sisi sio kama Walibya, Misri, Tunisia, au Wa Iraq, japo watu humu wanaisema sana CCM, na wanaonyesha wana hasira sana na jinsi CCM ilivyotufanya lakini kimoyomoyo wanaipenda!, kila mwaka wamekuwa wakiichagua na 2015, wataichagua tena, kupitia vetting not necerasily voting!, hivyo kura zote zikihesabiwa kituoni na majibu kubandikwa, vetting itafanyika vipi?.
Pasco.
 
1. Alisomea sheria kwenye kile chuo cha sheria na kuhitimu mwaka ule aliohitimu.

2. Yeye kutamka hadharani kua ni mwanausalama ni athari mzuri za kisiasa ndani ya chadema kwa sababu na "rais" wa watu naye anapata ile daily S-briefing na ndio maana anashuka na nondo za kiuhakika za kufa mtu.

3. Amewahi kufikia rank juu kabisa ndani ya usalama na operesheni zote muhimu ameshiriki.

4. Mchango wake katika kuinusuru NCCR Mageuzi ni mkubwa, ila tatizo iliisha athirika beyond repair ndio maana ikasambaratisha yenyewe tuu!.

5. Uwepo wake CHADEMA ni kwa ajili ya kuuimarisha, ila ikitokea Chadema ikaathirika, beyond repair, this time atautumia uzoefu wa NCCR kuhakikisha Chadema, kamwe haiwezi kusambaratika!. itaishi milele!.
6. Mafunzo ya ujasusi aliyapatia wapi?

7. Yeye kwa ngazi aliyofikia, hawezi kuwa bado ni agent wa TISS mpaka sasa, maagent ni wale samaki wadogo wadogo, hawa wakubwa sio maajenti, hao ndio wenyewe!.

NB. Kwa wapenzi wa Chadema, ili Chadema iweze kukabidhiwa nchi mwaka 2015, kama ikishinda uchaguzi, then kwanza ni lazima Chadema kipate vetting ya TISS, hivyo Marando ni muhimu sana kwa Chadema kuliko kiongozi mwingine yoyote!. Ikulu haikabidhiwi kwa siasa za majukwaani, by voting, bali by vetting!.

Na mnaodhania ni Marando peke yake, mjinue hamjui chochote kuhusu siasa za nchi hii!, sisi tunaowaambia ukweli kuwa 2015 ni CCM tena!, mnatuchukia, na badala yake mnawapenda wale wanaowadanganya kuwa 2015 ni Chadema!.

Endeleeni kufuatilia watu!, laiti mngelijua "politics is just a game!" wala msingejisumbua kujiuliza, ila kwa vile ni kwa lengo la kufurahisha nafsi zenu, endeleeni kujifurahisheni tuu.
Pasco.
huko niliko-highlite kote kuna logic sana,
 
Nchi itatawalika tuu, kwa ajili ya mandalizi ya 2015, wameongeza water canons kwa kila mkoa, tear gas, rubber bullets na vijana wataajiriwa kwa wingi sana mwakani, hivyo kuwaadabisha wote watakaotaka kutishia amani!.

Hili la matokeo yote kuhesabiwa kituoni na matokeo kubandikwa, haliwezi kukubalika, kwa sababu, Watanzania ni watu watulivu sana, sisi sio kama Walibya, Misri, Tunisia, au Wa Iraq, japo watu humu wanaisema sana CCM, na wanaonyesha wana hasira sana na jinsi CCM ilivyotufanya lakini kimoyomoyo wanaipenda!, kila mwaka wamekuwa wakiichagua na 2015, wataichagua tena, kupitia vetting not necerasily voting!, hivyo kura zote zikihesabiwa kituoni na majibu kubandikwa, vetting itafanyika vipi?.
Pasco.
Kwa kuongeza water canons na tear gas ni ushahidi tosha kwamba wanajua nchi haitatawalika. Nchi haitawaliki kwa mabavu au mtutu wa bunduki. Hili waulize makaburu wa Afrika kusini. Wanafunzi walipogoma kutumia lugha ya madhalimu na kuingia mitaani miaka ya 76 kwenda mbele ilikuwa ni dalili kwamba Afrika kusini haitawaliki tena. We jiaminishe kuwa Watanzania ni watulivu hata pale haki inapobakwa, utashangaa mwenyewe. Unasema kila mwaka wamekuwa wanaichagua CCM halafu hapo hapo unatuambia kura zinazopigwa sizo kura zinazotangazwa now which is whicho. Kila kitu cha dhuluma kina mwisho wake na ninyi mnaotegemea CCM kuendelea mamlakani kwa hadaa mtashangaa come 2015.
 
Ni kufuatia vitisho kama hivi, mkinyimwa vetting!, msilalamike!.
Pasco.
 
Majibu mtayapata October 2015!

Hahaha hahahaa hahahaaaa !
Kwa uwepo wa Mabere Marando pale CHADEMA , Kama ikienda IKULU mwaka huo wanaousema wao 2015 mnichome MOTO !

Kwani hata Uchaguzi wa mwaka ule 2010 Dr Slaa mnadhani hakushinda ? Ameshapewa chake Billions of Money mtabakia WANAHARAKATI tu....

Kuna siku moja mwaka 2010 Mzee mmoja mtu mzima alinieleza kuwa Chama cha Kukiondoa CCM madarakani bado hakijaanzishwa....nlimshangaa sana na sikumuelewaa LAKINI kwasiku zilivyozidi kwenda mpaka leo Mwaka 2013 NIMESHAELEWAA... Nimeshamwamini maneno yake, CHADEMA ina Mapandikizi mengi sana wao wanawaita MAKAMANDA....
 
Hapa ndio utajua raha ya Siasa .....unafki mtupu na Ushabiki wetu wa Vyama ...Mabere angekuwa CCM angetajwa hadi Hawara yake....sasa sababu sababu ana interest na watu..basi watu wanairuka thread kama message ya mkopo.

Hujakosea mkuu.
 
Ni kufuatia vitisho kama hivi, mkinyimwa vetting!, msilalamike!.
Pasco.
Vitisho havijatolewa na sisi. Vitisho vinatolewa na akina Mulogo, akina Nchemba, akina Zoka. We are simply just reading the situation as it is. In a true democracy you do not need a vetting system.
 
Kila sekta kuna TISS. Kuhusu Marando nadhani ni jinsi gani hawa jamaa wanatimiza kiapo chao vs matakwa binafsi au ya wanaowatumikia/ wanaowatuma.
 
In a true democracy you do not need a vetting system.
.
Hakuna kitu kama true democracy ndio maana tutakataza independent candidate kwenye urais ili kuwaepuka Populist leaders who might turn into the worst dictators!. Alexander The Great, Napoleoni, Hitler na hata Amin, walianza kama populist, the see what they turned up to be!.

Kama unajua kupima kwa jicho la mbali, just imagine jamaa ndio yuko Ikulu!, sipati picha!. Halafu nikimkumbuka na Queen Cleopatra!, ndio sipati kabisa picha!, wengine hatuna pa kuhamia!.
Amini nawaambieni, bila vetting, majuto ni mjukuu!. Diamond akigombea urais, kwa kutumia
"No voting without vetting!"
Pasco.
 
Anachosema Mkuu Pasco ni sahihi kabisaaa na Anachokisema Mkuu Jasusi ni sahihi kabisaaa....

Binafsi hupenda sana uchambuzi wa Pasco , maana huwa hauna bias zozote zaidi ya uhalisia. Japo wengi hum'beza kwa kutoendana na baadhi ya wayapendayo au wapendayo kuyasikia.
Kudos to you Pasco
 
Last edited by a moderator:
Kazi nyingine ni kama uumbaji!, watu wanakuwa initiated! kama kuzaliwa upya!, au ni kama sacramenti ya upadirisho!, once a priest, always a priest!, hata yule aliyeacha kabisa kazi rasmi ya upadiri!, bado ni padiri, na anaruhusiwa kutoa sacrament ya mpako wa mwisho mpaka mwisho!. Ni sawa na ukizaliwa mwanaume, utakufa mwanaume!. Once a boy, always a boy!,
Niliwashangaa sana watu waliokuwa wakimshangilia, kwa kutoa number za udakuzi aliofanyiwa na ...na watu wakashangilia kuwa spy chief has set a thief to catch a thief!.
Pasco.

Unajua mkuu pasco, kuna mambo mengi mazuri naona unayafahamu, nami navutiwa sana kujifunza toka kwako kufahamu, ila mara nyingi naona una-comment kimipashomipasho hv, mfano tazama nilipopapigilia mstari watu wa kawaida km sie hatuwezi kukung'amua mapeam.....vp unaweza kujirekebisha ili wengine tujifunze toka kwako?????
 
.
Hakuna kitu kama true democracy ndio maana tutakataza independent candidate kwenye urais ili kuwaepuka Populist leaders who might turn into the worst dictators!. Alexander The Great, Napoleoni, Hitler na hata Amin, walianza kama populist, the see what they turned up to be!.

Kama unajua kupima kwa jicho la mbali, just imagine jamaa ndio yuko Ikulu!, sipati picha!. Halafu nikimkumbuka na Queen Cleopatra!, ndio sipati kabisa picha!, wengine hatuna pa kuhamia!.
Amini nawaambieni, bila vetting, majuto ni mjukuu!. Diamond akigombea urais, kwa kutumia
"No voting without vetting!"
Pasco.

COPY: Pasco mkuu acha mipasho toa lecture linaloeleweka, watu tunaacha kufanya kazi tusome commnet zako halafu unatutaarab!!!
 
Last edited by a moderator:
Watu wanauliza maswali, ndipo wajibiwe, sasa wewe unauliza majibu, ujibiwe nini?. Ni wasiojua tuu ndio wanaoaminishwa kwenye ule siye yeye, na sauti sio yake, yaani mkanda ni fake, nilipowaambia ni "bonafide genuine!", wala hakurekodiwa kwa kificho!, alikuwa anajua kila kitu!, watu hamuamini!.

Ila sishangai, hata alipokuja YEYE, akawaambia wale alio waijia kuwa yeye ndiye YEYE!, hawakumwamini, na badala yake, ...
Hata ninavyowaeleza watu humu "jiwe walilolikataa waashi, litafranywa kuwa jiwe kuu la pembeni!". hamuamini!.
Nawaambia kuwa kuna kiongozi mmoja alielezewa kuwa "wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!" watu hawaamini, ameufanya mioyo yao iwe migumu, ili mshuhudie utukufu wake!, aliyepo mnaemdhanie ndiye siye! na yule msiye mdhania kabisa ndiye!.
Pasco.

Una maanisha Edward Ngoyai Lowassa?????????????
 
Vipi kama vetting ikifanyika kabla ya voting na kupelekea ku-eliminate wasio sahihi mapema? Matokeo si itakuwa to destroy them??? Could possibly be what is happening now???
Just asking if you can understand it!

Sawa........mm naona its ok, km hawafai wakaondolewa mapema ni sawa na kukubaliana na nguvu ya umma, so hakuna tatizo hapo!!!
 
wakuu naomba uchambuzi wa kina Juu ya mwanasheria huyu.

1. Alisomea sheria wapi na kuhitimu mwaka gani?

2. Yeye kutamka hadharani kua ni mwanausalama na athari zake kisiasa ndani ya chadema

3. Amewahi kufikia rank gani ndani ya usalama na operesheni alizoshiriki.

4. Mchango wake katika kuinusuru au kuisambaratisha NCCR mageuzi.

5. Uwepo wake CHADEMA na uwezekano wa kuisambaratisha au kuiimarisha.

6. Mafunzo ya ujasusi aliyapatia wapi?

7. kama bado ni agent wa TISS mpaka sasa.
Mabere Marando -- Muasisi wa Mageuzi nchini; Mjumbe wa Kamati kuu CDM; Makamu Mwenyekiti wa Kanda ya Dar es salaam CDM; Anaongoza kitengo cha wanasheria wa CDM akisaidiana na Tundu Lissu na Profesa Safari; Mwanasheria Mwandamizi wa Kujitegemea.

Hiii inakutosha kwa leo.
 
Ndio maana nimewaeleza huyu ni mtu muhimu zaidi kuliko kiongozi mwingine yoyote wa Chadema!.
Pasco.

Kwan wewe pasco ni nani mbona wanishawishi kirahisi rahisi hv? vp naweza kukufamu live ????.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom