Mabere Marando ni nani?

Negotiator

JF-Expert Member
Aug 9, 2010
303
44
wakuu naomba uchambuzi wa kina Juu ya mwanasheria huyu.

1. Alisomea sheria wapi na kuhitimu mwaka gani?

2. Yeye kutamka hadharani kua ni mwanausalama na athari zake kisiasa ndani ya chadema

3. Amewahi kufikia rank gani ndani ya usalama na operesheni alizoshiriki.

4. Mchango wake katika kuinusuru au kuisambaratisha NCCR mageuzi.

5. Uwepo wake CHADEMA na uwezekano wa kuisambaratisha au kuiimarisha.

6. Mafunzo ya ujasusi aliyapatia wapi?

7. kama bado ni agent wa TISS mpaka sasa.
 
Mkuu una maswali ya msingi sana, mimi huwa najiuliza sana hapo kwenye 4,5 na 7 ila naona wajuvi wa mambo hayo wamepotezea.
 
3.aliwahi kushiriki operesheni ya kumuua tamim,yule komando wa JWTZ aliepindua nchi miaka ya nyuma,lkn anasemaga kuwa hakumuua yeye,alikua anaitwa agent X....mwenzake ni balozi wa tanzania canada

Mkuu, Tamim hajawahi kupindua nchi ila alishiriki katika mpango ya kupindua nchi 1982 ila haukufanikiwa. Baadhi ya wenzie Tamimi walikuwa akina Rodric Roberts, Zakaria Hans Poppe na nduguye, Hamza Kadege, Banyikwa nk.
 
Mkuu maswali yote hayo kuhusu Mabele Marando ni valid. Na siku nyingi sana CDM ilishashauriwa iyafanyie kazi. Ni kweli ameka mchango wake kisheria CDM ila ni kwa ushauri mwema hawa watu wasiwe katika ngazi za juu za uongozi CDM? Wawe kule pembezoni ila tu kwa tabia za kishushushu hata kama akiwa pembeni huwa anapata majibu kwa njia ya smaku.
 
hoja yako imesimama nakumbuka kipindi hicho NCCR ilikuwa inaongozwa na Mrema ambaye baadae tulikuja gunduwa alikuwa ni pandikizi la ccm,pila kuwepo Dr Lamwai ambaye na yeye piya alikuwa pandikizi na sijui sasa hivi kapoteleya wapi.piya alikuwepo Makongoro Nyerere ambaye piya alikuwa pandikizi la CCC sasa huyu Marando ndugu yetu kiukweli simpingi kuwa Chadema ila nataka kujua je na yeye alikuwa pandikizi la ccm kama wenzake kipindi yupo Nccr kama hapana je hakuweza kuwagunduwa wenzake kuwa ni mapandiki ya ccm kupitia taaluma zake.je ni kwanini wote wa tatu marando,lamwai na makongoro baada ya uchaguzi 1995 wote walirudi ccm na kukabidhiwa vyeo inamaana walikuwa wanalipwa kutokana na kazi yao nzuri.kiukweli kuna utata
 
Hapa ndio utajua raha ya Siasa .....unafki mtupu na Ushabiki wetu wa Vyama ...Mabere angekuwa CCM angetajwa hadi Hawara yake....sasa sababu sababu ana interest na watu..basi watu wanairuka thread kama message ya mkopo.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom