1. Alisomea sheria kwenye kile chuo cha sheria na kuhitimu mwaka ule aliohitimu.
2. Yeye kutamka hadharani kua ni mwanausalama ni athari mzuri za kisiasa ndani ya chadema kwa sababu na "rais" wa watu naye anapata ile daily S-briefing na ndio maana anashuka na nondo za kiuhakika za kufa mtu.
3. Amewahi kufikia rank juu kabisa ndani ya usalama na operesheni zote muhimu ameshiriki.
4. Mchango wake katika kuinusuru NCCR Mageuzi ni mkubwa, ila tatizo iliisha athirika beyond repair ndio maana ikasambaratisha yenyewe tuu!.
5. Uwepo wake CHADEMA ni kwa ajili ya kuuimarisha, ila ikitokea Chadema ikaathirika, beyond repair, this time atautumia uzoefu wa NCCR kuhakikisha Chadema, kamwe haiwezi kusambaratika!. itaishi milele!.
6. Mafunzo ya ujasusi aliyapatia wapi?
7. Yeye kwa ngazi aliyofikia, hawezi kuwa bado ni agent wa TISS mpaka sasa, maagent ni wale samaki wadogo wadogo, hawa wakubwa sio maajenti, hao ndio wenyewe!.
NB. Kwa wapenzi wa Chadema, ili Chadema iweze kukabidhiwa nchi mwaka 2015, kama ikishinda uchaguzi, then kwanza ni lazima Chadema kipate vetting ya TISS, hivyo Marando ni muhimu sana kwa Chadema kuliko kiongozi mwingine yoyote!. Ikulu haikabidhiwi kwa siasa za majukwaani, by voting, bali by vetting!.
Na mnaodhania ni Marando peke yake, mjinue hamjui chochote kuhusu siasa za nchi hii!, sisi tunaowaambia ukweli kuwa 2015 ni CCM tena!, mnatuchukia, na badala yake mnawapenda wale wanaowadanganya kuwa 2015 ni Chadema!.
Endeleeni kufuatilia watu!, laiti mngelijua "politics is just a game!" wala msingejisumbua kujiuliza, ila kwa vile ni kwa lengo la kufurahisha nafsi zenu, endeleeni kujifurahisheni tuu.
Pasco.