Mabere Marando ni nani?

1. Alisomea sheria kwenye kile chuo cha sheria na kuhitimu mwaka ule aliohitimu.

2. Yeye kutamka hadharani kua ni mwanausalama ni athari mzuri za kisiasa ndani ya chadema kwa sababu na "rais" wa watu naye anapata ile daily S-briefing na ndio maana anashuka na nondo za kiuhakika za kufa mtu.

3. Amewahi kufikia rank juu kabisa ndani ya usalama na operesheni zote muhimu ameshiriki.

4. Mchango wake katika kuinusuru NCCR Mageuzi ni mkubwa, ila tatizo iliisha athirika beyond repair ndio maana ikasambaratisha yenyewe tuu!.

5. Uwepo wake CHADEMA ni kwa ajili ya kuuimarisha, ila ikitokea Chadema ikaathirika, beyond repair, this time atautumia uzoefu wa NCCR kuhakikisha Chadema, kamwe haiwezi kusambaratika!. itaishi milele!.
6. Mafunzo ya ujasusi aliyapatia wapi?

7. Yeye kwa ngazi aliyofikia, hawezi kuwa bado ni agent wa TISS mpaka sasa, maagent ni wale samaki wadogo wadogo, hawa wakubwa sio maajenti, hao ndio wenyewe!.

NB. Kwa wapenzi wa Chadema, ili Chadema iweze kukabidhiwa nchi mwaka 2015, kama ikishinda uchaguzi, then kwanza ni lazima Chadema kipate vetting ya TISS, hivyo Marando ni muhimu sana kwa Chadema kuliko kiongozi mwingine yoyote!. Ikulu haikabidhiwi kwa siasa za majukwaani, by voting, bali by vetting!.

Na mnaodhania ni Marando peke yake, mjinue hamjui chochote kuhusu siasa za nchi hii!, sisi tunaowaambia ukweli kuwa 2015 ni CCM tena!, mnatuchukia, na badala yake mnawapenda wale wanaowadanganya kuwa 2015 ni Chadema!.

Endeleeni kufuatilia watu!, laiti mngelijua "politics is just a game!" wala msingejisumbua kujiuliza, ila kwa vile ni kwa lengo la kufurahisha nafsi zenu, endeleeni kujifurahisheni tuu.
Pasco.

Mkuu Pasco,
vipi kuhusu Lwakatare?
Huyu ni mkuu wa Usalama chadema, vipi kwa namna moja au nyingine anaweza kuwa amepitia TISS?
Kiapo cha maafisa usalama kina ukomo??
 
Hapa ndio utajua raha ya Siasa .....unafki mtupu na Ushabiki wetu wa Vyama ...Mabere angekuwa CCM angetajwa hadi Hawara yake....sasa sababu sababu ana interest na watu..basi watu wanairuka thread kama message ya mkopo.

Mijitu mingine bana!

Si CCM mnamjua Mabere Marando Nani!

Unasubiri nini kutiririka kama unaona CDM ni wanafiki?.Kama hujui chochote kuhusu Marando jaribu kuomba msaada labda vijana wa Lumumba watakusaidia hasa akina Rizt.Ukishindwa um-PM Nape maana na yeye ni Member humu labda atakusaidia
 
1. Alisomea sheria kwenye kile chuo cha sheria na kuhitimu mwaka ule aliohitimu.

2. Yeye kutamka hadharani kua ni mwanausalama ni athari mzuri za kisiasa ndani ya chadema kwa sababu na "rais" wa watu naye anapata ile daily S-briefing na ndio maana anashuka na nondo za kiuhakika za kufa mtu.

3. Amewahi kufikia rank juu kabisa ndani ya usalama na operesheni zote muhimu ameshiriki.

4. Mchango wake katika kuinusuru NCCR Mageuzi ni mkubwa, ila tatizo iliisha athirika beyond repair ndio maana ikasambaratisha yenyewe tuu!.

5. Uwepo wake CHADEMA ni kwa ajili ya kuuimarisha, ila ikitokea Chadema ikaathirika, beyond repair, this time atautumia uzoefu wa NCCR kuhakikisha Chadema, kamwe haiwezi kusambaratika!. itaishi milele!.
6. Mafunzo ya ujasusi aliyapatia wapi?

7. Yeye kwa ngazi aliyofikia, hawezi kuwa bado ni agent wa TISS mpaka sasa, maagent ni wale samaki wadogo wadogo, hawa wakubwa sio maajenti, hao ndio wenyewe!.

NB. Kwa wapenzi wa Chadema, ili Chadema iweze kukabidhiwa nchi mwaka 2015, kama ikishinda uchaguzi, then kwanza ni lazima Chadema kipate vetting ya TISS, hivyo Marando ni muhimu sana kwa Chadema kuliko kiongozi mwingine yoyote!. Ikulu haikabidhiwi kwa siasa za majukwaani, by voting, bali by vetting!.

Na mnaodhania ni Marando peke yake, mjinue hamjui chochote kuhusu siasa za nchi hii!, sisi tunaowaambia ukweli kuwa 2015 ni CCM tena!, mnatuchukia, na badala yake mnawapenda wale wanaowadanganya kuwa 2015 ni Chadema!.

Endeleeni kufuatilia watu!, laiti mngelijua "politics is just a game!" wala msingejisumbua kujiuliza, ila kwa vile ni kwa lengo la kufurahisha nafsi zenu, endeleeni kujifurahisheni tuu.
Pasco.

Majibu yako ungewapa copy vijana wote wa Lumumba ungekuwa umefanya la Maana.
Hata Makaburu kule S.Afrika,Marekani-kuhusu Mwafrika Obama),Misri n.k kote huko hao na huo Mfumo unaoshabikia walijipa imani na kufanya vetting kama unavyosomeka lakini mwisho wa siku huhitaji kwenda shule kung'amua kilichotokea.
Jipe moyo ili kazi unayofanya iendelee kukupa unga kwa watoto na madili ya mjini.
 
Mkuu Pasco,
vipi kuhusu Lwakatare?
Huyu ni mkuu wa Usalama chadema, vipi kwa namna moja au nyingine anaweza kuwa amepitia TISS?
Kiapo cha maafisa usalama kina ukomo??
Watu wanauliza maswali, ndipo wajibiwe, sasa wewe unauliza majibu, ujibiwe nini?. Ni wasiojua tuu ndio wanaoaminishwa kwenye ule siye yeye, na sauti sio yake, yaani mkanda ni fake, nilipowaambia ni "bonafide genuine!", wala hakurekodiwa kwa kificho!, alikuwa anajua kila kitu!, watu hamuamini!.

Ila sishangai, hata alipokuja YEYE, akawaambia wale alio waijia kuwa yeye ndiye YEYE!, hawakumwamini, na badala yake, ...
Hata ninavyowaeleza watu humu "jiwe walilolikataa waashi, litafranywa kuwa jiwe kuu la pembeni!". hamuamini!.
Nawaambia kuwa kuna kiongozi mmoja alielezewa kuwa "wewe ni mwamba, na juu ya mwamba huu, nitalijenga taifa langu!" watu hawaamini, ameufanya mioyo yao iwe migumu, ili mshuhudie utukufu wake!, aliyepo mnaemdhanie ndiye siye! na yule msiye mdhania kabisa ndiye!.
Pasco.
 
Watu wanauliza maswali, ndipo wajibiwe, sasa wewe unauliza majibu, ujibiwe nini?. Ni wasiojua tuu ndio wanaoaminishwa kwenye ule siye yeye, na sauti sio yake, yaani mkanda ni fake, nilipowaambia ni "bonafide genuine!", wala hakurekodiwa kwa kificho!, alikuwa anajua kila kitu!, watu hamuamini!.

Ila sishangai, hata alipikuja YEYE, akawaambia wale alio waijia kuwa yeye ndiye YEYE, hawakumwamini, na badala yake, ...
Pasco.

Naanza kukuelewa taratibu............ila fafanua kidogo kuhusu 'vetting' pale ambapo nguvu ya umma imeizi nguvu ya usalama wa taifa, kiasi kwamba sasa wapo tayari hata kufa kuliko kuendelea kuishi maisha wasioyataka;
rejea:
misri, algeria, libya, tunisia, na kwingineko!!!
 
Umenichekesha ila sitaki kucheka pia.
Hujajibu swali langu moja, Kiapo cha maafisa usalama kina ukomo kwa namna yoyote au kwa sababu yoyote??
 
Vipi kama vetting ikifanyika kabla ya voting na kupelekea ku-eliminate wasio sahihi mapema? Matokeo si itakuwa to destroy them??? Could possibly be what is happening now???
Just asking if you can understand it!
 
Kazi nyingine ni kama uumbaji!, watu wanakuwa initiated! kama kuzaliwa upya!, au ni kama sacramenti ya upadirisho!, once a priest, always a priest!, hata yule aliyeacha kabisa kazi rasmi ya upadiri!, bado ni padiri, na anaruhusiwa kutoa sacrament ya mpako wa mwisho mpaka mwisho!. Ni sawa na ukizaliwa mwanaume, utakufa mwanaume!. Once a boy, always a boy!,
Niliwashangaa sana watu waliokuwa wakimshangilia, kwa kutoa number za udakuzi aliofanyiwa na ...na watu wakashangilia kuwa spy chief has set a thief to catch a thief!.
Pasco.
 
Mabere Nyaucho Marando ni kamanda wa ukweli. Ni mpiganaji wa siku nyingi sana, tangu enzi za Mwalimu. Aliacha kazi TISS baada ya kukataa kuwa mwanachama wa CCM! Tangu enzi hizo aliamini katika political pluralism. Pia ndiye mwanzilishi wa vuguvugu la mageuzi nchini.
 
Vipi kama vetting ikifanyika kabla ya voting na kupelekea ku-eliminate wasio sahihi mapema? Matokeo si itakuwa to destroy them??? Could possibly be what is happening now???
Just asking if you can understand it!
This is exactly what is happening now!, by 2015, all threats will be done!, well taken care!, the ni CCM Tena!.
Pasco.
 
Mabere Nyaucho Marando ni kamanda wa ukweli. Ni mpiganaji wa siku nyingi sana, tangu enzi za Mwalimu. Aliacha kazi TISS baada ya kukataa kuwa mwanachama wa CCM! Tangu enzi hizo aliamini katika political pluralism. Pia ndiye mwanzilishi wa vuguvugu la mageuzi nchini.
Ndio maana nimewaeleza huyu ni mtu muhimu zaidi kuliko kiongozi mwingine yoyote wa Chadema!.
Pasco.
 
1. Alisomea sheria kwenye kile chuo cha sheria na kuhitimu mwaka ule aliohitimu.

2. Yeye kutamka hadharani kua ni mwanausalama ni athari mzuri za kisiasa ndani ya chadema kwa sababu na "rais" wa watu naye anapata ile daily S-briefing na ndio maana anashuka na nondo za kiuhakika za kufa mtu.

3. Amewahi kufikia rank juu kabisa ndani ya usalama na operesheni zote muhimu ameshiriki.

4. Mchango wake katika kuinusuru NCCR Mageuzi ni mkubwa, ila tatizo iliisha athirika beyond repair ndio maana ikasambaratisha yenyewe tuu!.

5. Uwepo wake CHADEMA ni kwa ajili ya kuuimarisha, ila ikitokea Chadema ikaathirika, beyond repair, this time atautumia uzoefu wa NCCR kuhakikisha Chadema, kamwe haiwezi kusambaratika!. itaishi milele!.
6. Mafunzo ya ujasusi aliyapatia wapi?

7. Yeye kwa ngazi aliyofikia, hawezi kuwa bado ni agent wa TISS mpaka sasa, maagent ni wale samaki wadogo wadogo, hawa wakubwa sio maajenti, hao ndio wenyewe!.

NB. Kwa wapenzi wa Chadema, ili Chadema iweze kukabidhiwa nchi mwaka 2015, kama ikishinda uchaguzi, then kwanza ni lazima Chadema kipate vetting ya TISS, hivyo Marando ni muhimu sana kwa Chadema kuliko kiongozi mwingine yoyote!. Ikulu haikabidhiwi kwa siasa za majukwaani, by voting, bali by vetting!.

Na mnaodhania ni Marando peke yake, mjinue hamjui chochote kuhusu siasa za nchi hii!, sisi tunaowaambia ukweli kuwa 2015 ni CCM tena!, mnatuchukia, na badala yake mnawapenda wale wanaowadanganya kuwa 2015 ni Chadema!.

Endeleeni kufuatilia watu!, laiti mngelijua "politics is just a game!" wala msingejisumbua kujiuliza, ila kwa vile ni kwa lengo la kufurahisha nafsi zenu, endeleeni kujifurahisheni tuu.
Pasco.

Mkuu,
Ahsante sana kwa ufafanuzi huu ambao unaanza kutoa mwanga juu ya huyu comrade.

Lakini je, unadhani viongozi wa juu pale Chadema hawazijui sifa za huyu mwanakondoo wao aliye na ngazi za juu pale mtaa wa Togo? Na iwapo wanamjua, je kuna makubaliano yoyote miongoni mwao au tahadhari ipo juu ya huyu kamanda kwa wenye chama?

Ila nadhani, kwa vyovyote vile iwavyo, zipo faida kwa huyu Marando kuwepo Chadema.
 
Mkuu,
Ahsante sana kwa ufafanuzi huu ambao unaanza kutoa. Mwanga juu ya huyu comrade.
Lakini je, unadhani viongozi wa juu pale Chadema hawazijui sifa za huyu mwanakondoo wao aliye na ngazi za juu pale mtaa wa Togo? Na iwapo wanamjua, je kuna makubaliano yoyote miongoni mwao au tahadhari ipo juu ya huyu kamanda kwa wenye chama?
Umawazungumzia viongozi wajuu wepi hao ambao sio?!, tahadhari ya nini juu ya nani?!, si nimekueleza humu, atakayekwenda Ikulu, atapelekwa kwa vetting na sio kwa votting!. Hivi wewe mpaka sasa bado hujajua matokeo halali ya uchaguzi ni yale ya kura zilizopigwa au zile zilizoandikwa?!.

Kwa kukusaidia tuu, matokeo halali ni yale ya kura zilizoandikwa na sio zilizopigwa!, hata Chadema ikipata kura asilimia 95% na CCM ikapata asilimia 05%, kura zikiandikwa CCM 95%, Chadema 05%!, matokeo halali ni yanayotangazwa na sio kura zilizopigwa!. Kama vetting ikisema no Chadema, then its no Chadema, hata kama votting itaipigia kura za yes Chadema, kupitia vetting, matokeo yakayokatangwa ni yale ya karatasi!.

Mpaka hapo hujaelewa tuu jamaa alivyo muhimu kwa chama chenu!.

pasco,
Naamini 2015 itakuwa vigumu kupitisha kura za system. Chadema wamejifunza mengi baada ya uchaguzi wa 2010. Tutashupalia matokeo yatangazwe mara moja kwenye kila kituo na waandishi wa habari wasaidie. Itakuwa vigumu kwa NEC kupika matokeo isipokuwa kama wanataka nchi isikalike.
 
Back
Top Bottom