Kwetu kaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 547
- 403
likizoTiss ukiingia ni hadi pumzi yako ya mwisho, hakuna mapumziko wala rikizo.
Kwa hiyo hapo mfanyakazi anakuwa ni mtu wa kazi kwa kwenda mbele, ukisikia/ukahakikishiwa kuwa fulani anafanya kazi huko tuelewe tu kuwa huyo ni mfanyakazi hadi kifo.
Yaani hiyo kazi (kitengo) ni zaid ya ndoa ya Kanisani kuwa hakuna talaka.