Maaskofu Katoliki walivyolaani mauaji Pemba 2001

Kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu tamko la maaskofu kuhusu mauaji ya Arusha, huku wengine wakisema hakukuwa na taarifa kama hiyo kwa mauaji ya pemba mwaka 2001. Kwenye attachment ipo story ya gazeti la Majira Februari 25, 2001 (iko kama picha JPG) , likionesha jinsi Maaskofu Katoliki walivyolaani pamoja na mapendekezo yao, tusome kwa ajili ya kumbukumbu.

Nyongeza

Nomepata story ya Tamko la Viongozi wa Dini (kwa ujumla) la Februari 8, 2001 kuhusu mauaji ya Pemba. Source: Majira

maaskofu_zanzibar_mauaji.jpg

Kumbe wanasema tu bila utafiti wa kina! What a shame! Sasa inabidi tuwe waangalifu zaidi. Wakisema kitu tuwalazimishe walete data na siyo kulialia tu wanaonewa, wananyanyaswa wakati nafiri ni mbinu ya kuandaa mazingira fulani ya kutaka 'public sympathy' lakini kwa kubuni uongo na kuchganganya ukweli kidogo.
 
Ohh yeah! Na kichwa cha habari kinasema "Maaskofu Katoliki walivyolaani mauaji Pemba 2001" huku hatuoni wapi hao maaskofu wamelaani hayo mauaji. Kutoa tamko la kusikitishwa siyo sawa na kutoa tamko la kulaani. Acheni kuzungushazungusha maneno mkijua kuwa hayo yaliyoandikwa kwenye tamko hilo hayafanani hata kwa asilimia 10 na tamko la mauaji ya Arusha. Halafu hizo sababu za "nyakati tofauti" utafikiri wale waliouawa 2001 waliuawa na mapanga halafu hawa wa mwaka huu wameuawa na silaha za baiolojia.

By the way, mnaweza pia kutuletea "tamko la kulaani" ama tamko la "kusikitikia" mauaji ya Mwembechai? Ama hata tamko la kulaani kupigwa marufuku kwa kitabu cha mauaji ya Mwembechai? Anybody?
hilo la pemba hujaridhika, ukipewa lingine c kabisa,
 
Hapo ndipo utajiuliza sana busara ya viongozi wa kiislam wanaoongea mambo bila kuwa na kumbukumbu. Sijui kama huwa wanamaanisha wanachoongea au basi tu wanakuwa wanataka kuwafurahisha wafuasi wao. Hii ni aibu sana kwao na wafuasi wao! Asante sana kwa kutuwekea huu ushahidi hapa

Na hapo ndipo mnaposhindwa kujuwa kipi cha kuzungumza na kipi cha kunyamaza kimya. Hivyo kwa kadiri ya uwezo wako wa kufikiri hiki kilichowekwa hapo kinamaanisha kulaani , kusikitisshwa, kukemea na ni reflection ya wanachofanya sasa wakuu wenu wa dini? Sikulazimishi "ukusilimisha"lakini hebu tafakari na uangalie lugha iliyotumika kuwapeti Dola kwa walilofanya na kuwafanya "waliovunja" sheria kwa kutoelewa na hivyo kuhutaji waelimishwe?
Hivi sasa hili la Mazungumzo baina ya dola na wapinzani si issue tena hata viongozi haohao wanapobariki yaleyale waliyoyachukulia kuwa yalisababishwa na kutojuwa Demokrasia, yanayofanywa na vyama vyengine?
 
Kumbe wanasema tu bila utafiti wa kina! What a shame! Sasa inabidi tuwe waangalifu zaidi. Wakisema kitu tuwalazimishe walete data na siyo kulialia tu wanaonewa, wananyanyaswa wakati nafiri ni mbinu ya kuandaa mazingira fulani ya kutaka 'public sympathy' lakini kwa kubuni uongo na kuchganganya ukweli kidogo.
Hakuna aliyesema kuwa hawakusema lakini walichosema ni hiki na wanachofanya sasa ni vyengine. Kama wakati ule walisema kuwa Matokeo ya mauwaji ni ukosefu wa watu kujuwa Demokrasia sasa wanachofanya ni kuzuia kile walichokisema wakati ule (yaani kutowa mafunzo ya kuelewa demokrasia). Si walisema serikali ikubali na ifanye mazungumzo ? Sasa wao wenyewe wanashiriki kupongeza upande unaofanya yaliyofanywa na CUF na hata kudiriki kujiunga katika mambo yaliyopelekea Wakristo wenzao (sio Waislamu) kuwa wavue majoho, ukweli uliowauma sana.
 
Hapa mkuu umezidi kuwakandamiza Maaskofu Wakatoliki.

Hakuna walipokemea serikali na ukisoma unaona wametoa lawama kwa vyama vya siasa na ukosefu wa elimu ya uraia

Hujui kusoma sehemu habari ilikoanzia na ilikoendelea? Ilikoanzia habari inaongelea serikali ifanye mazungumzo na wadau. Sehemu habari inapoendelea inaongelea pia vyama vya siasa. Sasa ili uone kuwa walikemea ulitaka waandike nini? Mind you hii ni habari iliandikwa na mwandishi tu na siyo origional documement ya maaskofu, ambayo inaongelea maaskofu walichokisema.
 
Hujui kusoma sehemu habari ilikoanzia na ilikoendelea? Ilikoanzia habari inaongelea serikali ifanye mazungumzo na wadau. Sehemu habari inapoendelea inaongelea pia vyama vya siasa. Sasa ili uone kuwa walikemea ulitaka waandike nini? Mind you hii ni habari iliandikwa na mwandishi tu na siyo origional documement ya maaskofu, ambayo inaongelea maaskofu walichokisema.

Kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu tamko la maaskofu kuhusu mauaji ya Arusha, huku wengine wakisema hakukuwa na taarifa kama hiyo kwa mauaji ya pemba mwaka 2001. Kwenye attachment ipo story ya gazeti la Majira Februari 25, 2001 (iko kama picha JPG) , likionesha jinsi Maaskofu Katoliki walivyolaani pamoja na mapendekezo yao, tusome kwa ajili ya kumbukumbu.

Nyongeza

Nomepata story ya Tamko la Viongozi wa Dini (kwa ujumla) la Februari 8, 2001 kuhusu mauaji ya Pemba. Source: Majira

maaskofu_zanzibar_mauaji.jpg

naona jina la gazeti umejaribu kulichakachua.. na kukata vipande vya pembeni lisionekane ni gazeti gani liliondika habari hii! ila nikiangalia moja ya picha upande wa pili naona maka ya steven aswile, haya magazeti ya ki kristu yanayo andika habari za kanisa sikuzote habari zao zitakuwa ni kusafisha kanisa,... mwandishi amejaribu kupamba kwa maneno yake mwenyewe kuonesha kwamba maaskofu walikemea hilo jambo kipindi kile.
 
Hujui kusoma sehemu habari ilikoanzia na ilikoendelea? Ilikoanzia habari inaongelea serikali ifanye mazungumzo na wadau. Sehemu habari inapoendelea inaongelea pia vyama vya siasa. Sasa ili uone kuwa walikemea ulitaka waandike nini? Mind you hii ni habari iliandikwa na mwandishi tu na siyo origional documement ya maaskofu, ambayo inaongelea maaskofu walichokisema.
Nafikiri itabidi urudi kuisoma hiyo thread hapo ilpoanzishwa. Imesema Maaskofu walipolani mauwaji. Hiyo ilikuwa ni maelezo ya mtoa mada na tuliposoma hilo bandiko tumeshindwa kuona hata pahala pamoja panapoonyesha neno kulaani. Ukiipitia habari yenyewe hakuna hata pahala pamoja palipoonyesha kuwa wauwaji hayo yanasikitikiwa mbali ya kulaaniwa. Ukiendelea ni kuonyesha tu kuwa wahusika wote wafanye nini (waelimishwe kwa upande wa CUF) Sijui hii ina imply nini kwako kuwa wana makosa au hawana? Na upande mwengine yaani dola ufanye mazungumzo na CUF kwa kuwaelimisha (na hapa sjui kwako lilikuwa ni karipio?
Kwa mimi nionavyo hya matamshi hayakutosheleza wala hayakutowa hali halisi viongozi hawa wa jamii walivyotakiwa watoe, wangelaani au kusikitishwa na walichokifanya dola.

Sasa baada ya miaka kumi viongozi hawahawa panapotokea jambo kama lile la mwanzo, na wanaposahau kuwa kuna busara kama walivyosema awali na wao wakiamua kuingia upande mmoja na kuiondowa hiyo busara linakuwa jambo la kutatiza na historia inawahukumu. Huu ni ushahidi tosha kuwa ukweli siku zote hujitokeza. Kuna wengi ambao walikuwa hawaamini kuwa viongozi hawa wamekuwa na kauli mbili kwa jambo moja basi wamepata ushahidi (ingawa mtowa mada alikusudia kuwatakasa lakini naona imekuwa kinyume chake)
 
Hakuna aliyesema kuwa hawakusema lakini walichosema ni hiki na wanachofanya sasa ni vyengine. Kama wakati ule walisema kuwa Matokeo ya mauwaji ni ukosefu wa watu kujuwa Demokrasia sasa wanachofanya ni kuzuia kile walichokisema wakati ule (yaani kutowa mafunzo ya kuelewa demokrasia). Si walisema serikali ikubali na ifanye mazungumzo ? Sasa wao wenyewe wanashiriki kupongeza upande unaofanya yaliyofanywa na CUF na hata kudiriki kujiunga katika mambo yaliyopelekea Wakristo wenzao (sio Waislamu) kuwa wavue majoho, ukweli uliowauma sana.

Unasema hivyo kwa vile una document yao au unasema kuppitia aliyoandika mwandishi wa habari, ambaye siyo personal secretary wa maaskofu? Ilete hiyo document yao waliyoandika haladu ndiyo uchambue hayo unayoyasema?
 
I wish tamko kama hili lingetolewa kwa tatizo la Arusha. Tatizo la Arusha limetengenezwa kwa makusudi maalum na hata tamko la Maaskofu lilifuata umaalum huo huo. Lau kama kusingekuwa na umaalum huo, kusingekuwa na haja kwa Maaskofu kukariri hoja ya CDM ya kutomtambua Meya na kutaka uchaguzi urudiwe kana kwamba na wao ni wapiga kura. Haya mambo ndo yanayotoa nafasi ya hisia za udini.

Kwa vyovyote vile tukio la Arusha lazima Serikali ilizembea!!!
Lowassa alionya mara baada tu ya uchaguzi. Katibu mkuu akampinga waziwazi!! hoja ya Lowassa ilikuwa rahisi lakini ya msingi " CCM ikae na CDM mezani"..... Baada ya tukio waziri wa Mambo ya ndani [ambaye hushughuikia masuala ya usalama wa ndani ya nchi] aliweka wazi kuwa ni tatizo la kisiasa ........ Tamko hilo lilithibitisha na kuimarisha kauli ya Lowassa kuwa CCM na CDM wangekaa meza moja kuzungumza!!
Hayo yoooooooooooote! WEWE UNAONA NI UPENDELEO WA KIDINI?!!
  • YOU MUST HAVE ONE PROBLEM HAUNTING YOU "HATRED TO CHRISTIAN"
 
Nafikiri itabidi urudi kuisoma hiyo thread hapo ilpoanzishwa. Imesema Maaskofu walipolani mauwaji. Hiyo ilikuwa ni maelezo ya mtoa mada na tuliposoma hilo bandiko tumeshindwa kuona hata pahala pamoja panapoonyesha neno kulaani. Ukiipitia habari yenyewe hakuna hata pahala pamoja palipoonyesha kuwa wauwaji hayo yanasikitikiwa mbali ya kulaaniwa. Ukiendelea ni kuonyesha tu kuwa wahusika wote wafanye nini (waelimishwe kwa upande wa CUF) Sijui hii ina imply nini kwako kuwa wana makosa au hawana? Na upande mwengine yaani dola ufanye mazungumzo na CUF kwa kuwaelimisha (na hapa sjui kwako lilikuwa ni karipio?
Kwa mimi nionavyo hya matamshi hayakutosheleza wala hayakutowa hali halisi viongozi hawa wa jamii walivyotakiwa watoe, wangelaani au kusikitishwa na walichokifanya dola.

Sasa baada ya miaka kumi viongozi hawahawa panapotokea jambo kama lile la mwanzo, na wanaposahau kuwa kuna busara kama walivyosema awali na wao wakiamua kuingia upande mmoja na kuiondowa hiyo busara linakuwa jambo la kutatiza na historia inawahukumu. Huu ni ushahidi tosha kuwa ukweli siku zote hujitokeza. Kuna wengi ambao walikuwa hawaamini kuwa viongozi hawa wamekuwa na kauli mbili kwa jambo moja basi wamepata ushahidi (ingawa mtowa mada alikusudia kuwatakasa lakini naona imekuwa kinyume chake)

Inaposemwa: "Uchunguzi ufanyike na yeyote aliyehisika awajibishwe kwa mujibu wa sheria" Kauli hii inamaanisha nini?. Kama uchunguzi ulifanyika na watu hawakuchukuliwa hatua baada ya siku kadhaa tukuo la kufanana na hilo likatokea tena/likajirudia, Je, mtoa kauli atoe kauli inayofanana na hiyo au aiongeze nguvu/makali ili kumuonyesha muhusika kuwa alichokisema mwanzo alimaanisha??

Kama kweli huegemei upande mmoja then utakuwa umeelewa, lakini kama unalinda maslahi yako utaendeleza ubishi!!
 
...........................pumba.
 
Acheni udini huo. mbona muuza sura wenu anateua waislamu tu kila kona na watu hawapigi kelele. Au ndo mnapiga kelele kutuzuga ili tusione kinachofanyika! Kila anayechaguliwa ni walewale tu. Kati ya makatibu tawala 6 walioteuliwa hivi karibuni wa5 ni waislamu, mlishasikia mkristu hata mmoja kapiga kelele? Nafasi za wabunge wa kuteuliwa na rais hadi sasa wameshateuliwa wangapi na ni wa dini gani? Mbona watu wamekaa kimya tu ila nyie ndo mnaweweseka.

Hii ishu wengi hatuielewi.Je, ukiteua MaDC wote wa dini fulani kuna faida gani kwa waumini?? jibu hakuna.Today JK iz a moslem but still kuna muislam hata mlo mmoja hana.Pliz watz nchi kwanza!!!!
 
Unasema hivyo kwa vile una document yao au unasema kuppitia aliyoandika mwandishi wa habari, ambaye siyo personal secretary wa maaskofu? Ilete hiyo document yao waliyoandika haladu ndiyo uchambue hayo unayoyasema?
Bahati mbaya kuwa hatupo mahakamani lakini ndugu yangu matamko yote unayoyashangiria hapa unapata document yake? Halafu wewe si ulianza na kubishia kwa kutumia habari hiihii na wala hukuja na document kuweka sawa na hata huyo aliesema kuwa walilani hajatuletea document.
Bwana mdogo hawav Waaandishi wa habari hufikishwa mahakamani kwa habari zao wanazoandika hivyo bila shaka wanatambuliwa.
 
Inaposemwa: "Uchunguzi ufanyike na yeyote aliyehisika awajibishwe kwa mujibu wa sheria" Kauli hii inamaanisha nini?. Kama uchunguzi ulifanyika na watu hawakuchukuliwa hatua baada ya siku kadhaa tukuo la kufanana na hilo likatokea tena/likajirudia, Je, mtoa kauli atoe kauli inayofanana na hiyo au aiongeze nguvu/makali ili kumuonyesha muhusika kuwa alichokisema mwanzo alimaanisha??

Kama kweli huegemei upande mmoja then utakuwa umeelewa, lakini kama unalinda maslahi yako utaendeleza ubishi!!
Hapana pahala niliposema kufanyike uchunguzi lakini pengine maelezo marefu yalikukwaza naomba nikupe kwa ufupi.
Naamini maaskofu wana busara kwa wakati uliopita na hata huu tulionao na kama wakati uliopita walitumia busara ya kutaka pande zinazohusikia zifanye mazungumzo basi busara hiyo ingetumika pale tukio lilipojirejea. Hivyo unafikiri kazi ya Maaskofu kutumia nguvu (kushabikia machafuko) kama wanavyofanya sasa hivi?
 
Kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu tamko la maaskofu kuhusu mauaji ya Arusha, huku wengine wakisema hakukuwa na taarifa kama hiyo kwa mauaji ya pemba mwaka 2001. Kwenye attachment ipo story ya gazeti la Majira Februari 25, 2001 (iko kama picha JPG) , likionesha jinsi Maaskofu Katoliki walivyolaani pamoja na mapendekezo yao, tusome kwa ajili ya kumbukumbu.

Nyongeza

Nomepata story ya Tamko la Viongozi wa Dini (kwa ujumla) la Februari 8, 2001 kuhusu mauaji ya Pemba. Source: Majira

maaskofu_zanzibar_mauaji.jpg

Miruko You have just made my DAy Thank youuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

HAWA WATU WANAsahau sana
 
Hebu anagalia chanzo cha vurugu za Pemba (2001) nani alisababisha vurugu chama (flani) au serikari na Arusha (2011) nani alianzisha vururgu chama (CDM) au Serekali na intelinjensia zake za .............
 
Back
Top Bottom