Ameondoka na ulofa wakeMarehemu ndo alikuwa mbabe wa CCM. Huyu ndo alikuwa anatoa amri hadi kwa wenyeviti wa tume wabadirishe matokeo na kuwapa ushindi CCM. Alifanya hivyo mwaka 2000 Zanzibar na hata mwaka 2015. Ni busara tu za Maalim za diplomasia za Kikwete ziliepusha ya 2001 kutokea tena 2015 Zanzibar baada ya Jecha kuweka mpira kwapani.
Ndo mana mwishoni alikuwa anajutia sana na nafikiri ndo sababu ya kutaka Tume Huru kwenye kitabu chake.
Kwa madhira tuliyopitia Tanzania Mkapa ana asilimia 70 ya mchango kwa sababu hata Magu ni yeye ndo aling’ang’ania awe raisi huku akijua hana uwezo. Matokeo yake ameyaona kabla hajafa maana Magu anapata shida kuanzia kuongoza Chama hadi nchi
Ukifa weweKama wewe ukifa
Hawa majitu ni mauaji by nature.Nakumbuka wizi mkubwa sana wa EPA katika uchaguzi wa 2005, nakumbuka wale makaburu toka South Africa walijiita Net Group Solutions walipoingizwa TANESCO na mtutu wa bunduki na kukabidhiwa all management positions na wazawa kuondolewa. Hao walikuwa wakilipwa management fees in forex pamoja na kuwa walikuwa hawajui chochote kuhusu umeme. Waliingizwa na mtutu wa bunduki FFU kwa sababu Watanzania na Wafanyakazi wa TANESCO tulikataa hao makaburu kukabidhiwa TANESCO
Nakumbuka wizi wa Kiwira Coal Mining ambayo ilikuwa na thamani ya bilioni 7 na Mkapa, familia yake na Daniel Yona kujimilikisha kwa kulipa milion 7 tu kisha kuwatumia hao Net Group Solutions “kusaini mkataba” na kampuni yake ya KCM mkataba wa kufua umeme na kuwauzia TANESCO kwa shilingi 152 million kwa siku.
Nakumbuka kuuza NBC kwa shilingi milioni 15 tu kwa makaburu pamoja na kuwa ilikuwa na thamani kubwa sana. Uuzwaji wa NBC Mwalimu aliupinga sana na ulimuuma sana.
Mzee mwenye lugha chafu za maudhiRIP mzee Mkapa
Mzee mwenye lugha chafu za maudhi
Lissu anatoa taarifa za kufuatiliwa na gari isiyojulikana 2017
Zaidi ya wazanzibar 200Zanzibar walikianzisha baada ya mkapa kupoka ushindi wa CUF kwenye uchaguz mkuu wa 2000. Jamaa akapeleka wanajeshi na ffu kutoka bara kwenda kuwakazimisha. Taarifa zinasema zaidi ya wazanzibar 60 waliuawa na polisi
So ukikutana na kaburi lake unalichimbua na kumtandika njiti?Katuwekea kiongozi ambaye amesababisha ndugu zetu wapendwa hatuwaoni mtaani na mitandaoni. Ben Saanane, Azory Gwanda, watu kibao wameuwawa na kupotea. Nafikiri kutakuwa na kurudisha kisasi hatari huko mbeleni, kuna makaburi yatafumuliwa haki ya Mungu. Sidhani kama utavumilia unyama huu, ndugu yako alipotezwa alafu vita imetokea unakutana na mtoto au ndugu au kaburi ya mtu dharimu, haliwezi kupona. MANINA
List of shame bado iko live hata kama amekufaIngawa mkapa ameomba radhi kwenye kitabu chake kwa haya aliyowafanyia wazanzibar ila ukweli ni kwamba aliwakosea sana hawa watu na kwa mauaji yale alitakiwa akafie gerezani the Hague.
Hii ni dunia... tenda wema nenda zako... ukitenda ujue utalipwa kwa namna yoyote ile. Ukishangilia uovu ama kuushiriki jua utalipwa tu wala hakuna apunjwae katika hili.Ndo mtazamo wako na wewe, sio mbaya. Ila mkapa gentleman and true highly skilled diplomat ndo maana wale wazenji aliwatuliza kizenji.
Wewe ujuae toa maelezo wacha ungese wako.Hata hujui kitu
Uwepo wao unategemea uwepo wa huo mgogoroNi muda muafaka aliyeko madarakani kutoingilia chaguzi za Zanzibar,ili wa Zanzibar wapate kile wanachokitaka.
Vinginevyo misuguano haitakaa iishe.