Maaskofu Katoliki walivyolaani mauaji Pemba 2001

Lissu anatoa taarifa za kufuatiliwa na gari isiyojulikana 2017


"hatufanyii kazi taarifa za kishabiki za mitandaoni sisi"

Lissu anatangaza kurejea 2020


"hata Hivyo tumeona katika mitandao ya kijamii baadhi ya viongozi wa Chadema wakihamasisha wananchi kukusanyika.

Kuna watumishi wana akili mbovu sana
Saa zingine unaweza cheka tu...
 
Ingawa mkapa ameomba radhi kwenye kitabu chake kwa haya aliyowafanyia wazanzibar ila ukweli ni kwamba aliwakosea sana hawa watu na kwa mauaji yale alitakiwa akafie gerezani the Hague.
Wazanzibar wangapi wamesoma hicho kitabu chake na kujua kwamba wameombwa msamaha?, Mimi wa bara sijakiona itakuwa mpemba aliyekung'utwa hadi akakimbilia Mombasa kakionea wapi?
 
Kikubwa alijutia yale mauaji na aliomba msamaha kwenye kitabu chake. Atajijua na Mungu huko mbinguni
Mkuu huu msamaha wa kwenye kitabu haukubaliki kama kweli alijutia angetangaza hadharani kwa vile sio rahisi kuomba msamaha kwa kila mtu
 
Wagumu sana kuelewa na ni wepesi mno kusahau
Kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu tamko la maaskofu kuhusu mauaji ya Arusha, huku wengine wakisema hakukuwa na taarifa kama hiyo kwa mauaji ya pemba mwaka 2001. Kwenye attachment ipo story ya gazeti la Majira Februari 25, 2001 (iko kama picha JPG) , likionesha jinsi Maaskofu Katoliki walivyolaani pamoja na mapendekezo yao, tusome kwa ajili ya kumbukumbu.


Nyongeza

Nomepata story ya Tamko la Viongozi wa Dini (kwa ujumla) la Februari 8, 2001 kuhusu mauaji ya Pemba. Source: Majira

maaskofu_zanzibar_mauaji.jpg
 
Wagumu sana kuelewa na ni wepesi mno kusahau
KUOMBA RADHI KULIBIDI KUAMBATANE NA FIDIA
Kwa vile Mkapa ni Mkuu wa nchi mstaafu,ana mengi ya kujibu mbele za Mungu Mwenye enzi.
Na nina imani Jahannam atakuwa Makao yake makuu,
Kwani wema wake wote ameshalipwa Duniani,
Kapata sifa nyingi na raha za aina zote ya kuishi hadi kufa kwake,
Na utukufu alliopewa hapa duniani.
RIP In Jahannam.
 
KUOMBA RADHI KULIBIDI KUAMBATANE NA FIDIA
Kwa vile Mkapa ni Mkuu wa nchi mstaafu,ana mengi ya kujibu mbele za Mungu Mwenye enzi.
Na nina imani Jahannam atakuwa Makao yake makuu,
Kwani wema wake wote ameshalipwa Duniani,
Kapata sifa nyingi na raha za aina zote ya kuishi hadi kufa kwake,
Na utukufu alliopewa hapa duniani.
RIP In Jahannam.
Ndugu, hakika hii si sawa. Anayehukumu ni Mungu. Tofauti za kisiasa zisikutoe ubinadamu
 
Back
Top Bottom