Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,959
Kikubwa alijutia yale mauaji na aliomba msamaha kwenye kitabu chake. Atajijua na Mungu huko mbingunieti ndio anasifiwa, aisee bongo tumelogwa
Kikubwa alijutia yale mauaji na aliomba msamaha kwenye kitabu chake. Atajijua na Mungu huko mbingunieti ndio anasifiwa, aisee bongo tumelogwa
Eti bila CCM hakuna muungano..hapo unategemea nini?Ni muda muafaka aliyeko madarakani kutoingilia chaguzi za Zanzibar,ili wa Zanzibar wapate kile wanachokitaka.
Vinginevyo misuguano haitakaa iishe.
Marehemu ndo alikuwa mbabe wa CCM. Huyu ndo alikuwa anatoa amri hadi kwa wenyeviti wa tume wabadirishe matokeo na kuwapa ushindi CCM. Alifanya hivyo mwaka 2000 Zanzibar na hata mwaka 2015. Ni busara tu za Maalim za diplomasia za Kikwete ziliepusha ya 2001 kutokea tena 2015 Zanzibar baada ya Jecha kuweka mpira kwapani.
Ndo mana mwishoni alikuwa anajutia sana na nafikiri ndo sababu ya kutaka Tume Huru kwenye kitabu chake.
Kwa madhira tuliyopitia Tanzania Mkapa ana asilimia 70 ya mchango kwa sababu hata Magu ni yeye ndo aling’ang’ania awe raisi huku akijua hana uwezo. Matokeo yake ameyaona kabla hajafa maana Magu anapata shida kuanzia kuongoza Chama hadi nchi
Baada ya kusahihisha yaliyopitaYaliyopita sindwele tugange yajayo!!!!
Kikubwa alijutia yale mauaji na aliomba msamaha kwenye kitabu chake. Atajijua na Mungu huko mbinguni
Hizo ni akili muflis sana,wangeachia kura ziamue na si kulazimisha.Watu wanabaki na chuki mioyoni mwao.Eti bila CCM hakuna muungano..hapo unategemea nini?
eti ndio anasifiwa, aisee bongo tumelogwa
Kwasababu wazazi wako au wanao au wewe mwenyewe haikuwapata athari? Siku athari mbaya itawakuta kwa dhuluma wapendwa wako wa karibu ndio utajua maana ya kauli yako hiiUbishi wao ndiyo ulifanya wapate cha moto!
Nilitaneikwa bila hatia mkuuNa wewe ulitandikwa nini? Ndiyo maana domo lako liko hivyo?
Marehemu ndo alikuwa mbabe wa CCM. Huyu ndo alikuwa anatoa amri hadi kwa wenyeviti wa tume wabadirishe matokeo na kuwapa ushindi CCM. Alifanya hivyo mwaka 2000 Zanzibar na hata mwaka 2015. Ni busara tu za Maalim za diplomasia za Kikwete ziliepusha ya 2001 kutokea tena 2015 Zanzibar baada ya Jecha kuweka mpira kwapani.
Ndo mana mwishoni alikuwa anajutia sana na nafikiri ndo sababu ya kutaka Tume Huru kwenye kitabu chake.
Kwa madhira tuliyopitia Tanzania Mkapa ana asilimia 70 ya mchango kwa sababu hata Magu ni yeye ndo aling’ang’ania awe raisi huku akijua hana uwezo. Matokeo yake ameyaona kabla hajafa maana Magu anapata shida kuanzia kuongoza Chama hadi nchi
Nakumbuka wizi mkubwa sana wa EPA katika uchaguzi wa 2005, nakumbuka wale makaburu toka South Africa walijiita Net Group Solutions walipoingizwa TANESCO na mtutu wa bunduki na kukabidhiwa all management positions na wazawa kuondolewa. Hao walikuwa wakilipwa management fees in forex pamoja na kuwa walikuwa hawajui chochote kuhusu umeme. Waliingizwa na mtutu wa bunduki FFU kwa sababu Watanzania na Wafanyakazi wa TANESCO tulikataa hao makaburu kukabidhiwa TANESCO
Nakumbuka wizi wa Kiwira Coal Mining ambayo ilikuwa na thamani ya bilioni 7 na Mkapa, familia yake na Daniel Yona kujimilikisha kwa kulipa milion 7 tu kisha kuwatumia hao Net Group Solutions “kusaini mkataba” na kampuni yake ya KCM mkataba wa kufua umeme na kuwauzia TANESCO kwa shilingi 152 million kwa siku.
Nakumbuka kuuza NBC kwa shilingi milioni 15 tu kwa makaburu pamoja na kuwa ilikuwa na thamani kubwa sana. Uuzwaji wa NBC Mwalimu aliupinga sana na ulimuuma sana.
RIP mzee MkapaShukrani sana Mkuu nakumbuka Wafanyakazi wa TANESCO siku Net Group Solutions wanaingizwa ofisini kwa mtutu wa bunduki waliimba nyimbo nyingi za ukombozi na kumtukuza Mwalimu.
Ni muda muafaka aliyeko madarakani kutoingilia chaguzi za Zanzibar,ili wa Zanzibar wapate kile wanachokitaka.
Vinginevyo misuguano haitakaa iishe.